Tafadhali Thread hii wasisome wanawake ni kwa wanaume tu.

Ukitaka raha ya uzee ni kweli unapaswa kujiandaa kipindi cha ujana,
Na wengi wetu huwa tunakosea sana wakati wa kuoa tu!
Ila ukitaka raha ya uzee, usikubali kutofautiana sana na mwanamke angalau mpishane miaka miwili au mitatu uzee wako utafaidi sana!

Lakini unakuta mwanaume una miaka 35 unaoa binti wa miaka 25 au 23 hapo jua tu utapata tabu sana!

Mwanamke wa kuzeeka nae umpite miaka 10 hadi 15.Hapo mtaenda sawa na ukijtunza vyema.
 
Kwanza kabisa niombe radhi kwa kuingia uwanja huu pasipo ruksa ya mtoa uzi.
********************************************

Matokeo ya leo ni maamuzi mliyoyaishi wazazi tangu mwanzo wa kuiunda NDOA yenu.

Tusipandikize sumu kwa baba watarajiwa waamini hiki kilichowasilishwa hapa na pindi waingiapo katika ndoa waishi maisha yaliyojaa hofu (NDOA haitakuwa yenye furaha kamwe).
Siku zote malezi ya watoto hujengwa katika msingi ulio bora baina ya wazazi wote wawili (Baba na mama).

Watoto wakilelewa katika familia zenye mahusiano mazuri, majibizano yenye kuheshimiana, na kauli zisizokatisha tamaa ni dhahiri watoto pia watajengewa hulka ya kuwaheshimu na kuwathamini wazazi wao pasipo kuwa na chembe chembe za ubaguzi.

Vilevile kutokana na msingi bora waliojiwekea kama familia mama pia hatakuwa na chembe chembe za roho mbaya, visasi + kumsiliba mumewe kwa uozo wa aina yoyote. Nao watadumu katka UPENDO uliotukuka na mwisho wa siku kuzeeka pamoja pasipo kuumizana hisia wala kuleteana maradhi yatokanayo na msongo wa mawazo.

Mara nyingi baba zetu wamekuwa wakifikiri malezi ya watoto huegemea zaidi kwa mama kuliko baba (Tukumbuke malezi si kula, kunywa, kulala na kuvaa pekee). Wanaume walio wengi wamejijengea kasumba ya kuhakikisha tu anatoa pesa ya kukidhi mahitaji ya familia, na pesa hii mara zote hupitia kwa mama.

Tatizo huanza pale mama atakapokuwa na roho ya choyo, ubinafsi, upendo wa kinafiki ndipo darasa la kuwapandikiza watoto wake tabia alizonazo litakapoanza.
Watoto nao wataamini maneno ya mama yao kwani mara zote mama ndo huwa rafiki wa karibu sana kuliko baba. Hali hii itapelekea matatizo yote wayaelekeze kwa mama, mama nae kutokana na kukosa msingi mzuri wa familia hushindwa kumshirikisha baba.

Mwisho wa siku watoto humuona mama ndo kila kitu katka maisha yao, na hata watakapofanikiwa bado mama atakuwa rafiki wa karibu sana kuliko baba yao, hii hupelekea mama kula hadi vilivyofichwa uvunguni wakati huo baba akiambulia tabasamu pekee kutoka kwa wanawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku mtoto wangu nikimsikia anasema anampenda mama kuliko baba, aise hakuna rangi ataacha kuiona.
Huto msikia utaona matendo,mm n mja wa watu ambao hua namsikiliza mama na baba kwa tahadhari sana na hua natoa chochote kwa kupima situation,nyimbo za kusema nani Kama mama sijawahi zielewa
 
Kwanza kabisa niombe radhi kwa kuingia uwanja huu pasipo ruksa ya mtoa uzi.
********************************************

Matokeo ya leo ni maamuzi mliyoyaishi wazazi tangu mwanzo wa kuiunda NDOA yenu.

Tusipandikize sumu kwa baba watarajiwa waamini hiki kilichowasilishwa hapa na pindi waingiapo katika ndoa waishi maisha yaliyojaa hofu (NDOA haitakuwa yenye furaha kamwe).
Siku zote malezi ya watoto hujengwa katika msingi ulio bora baina ya wazazi wote wawili (Baba na mama).

Watoto wakilelewa katika familia zenye mahusiano mazuri, majibizano yenye kuheshimiana, na kauli zisizokatisha tamaa ni dhahiri watoto pia watajengewa hulka ya kuwaheshimu na kuwathamini wazazi wao pasipo kuwa na chembe chembe za ubaguzi.

Vilevile kutokana na msingi bora waliojiwekea kama familia mama pia hatakuwa na chembe chembe za roho mbaya, visasi + kumsiliba mumewe kwa uozo wa aina yoyote. Nao watadumu katka UPENDO uliotukuka na mwisho wa siku kuzeeka pamoja pasipo kuumizana hisia wala kuleteana maradhi yatokanayo na msongo wa mawazo.

Mara nyingi baba zetu wamekuwa wakifikiri malezi ya watoto huegemea zaidi kwa mama kuliko baba (Tukumbuke malezi si kula, kunywa, kulala na kuvaa pekee). Wanaume walio wengi wamejijengea kasumba ya kuhakikisha tu anatoa pesa ya kukidhi mahitaji ya familia, na pesa hii mara zote hupitia kwa mama.

Tatizo huanza pale mama atakapokuwa na roho ya choyo, ubinafsi, upendo wa kinafiki ndipo darasa la kuwapandikiza watoto wake tabia alizonazo litakapoanza.
Watoto nao wataamini maneno ya mama yao kwani mara zote mama ndo huwa rafiki wa karibu sana kuliko baba. Hali hii itapelekea matatizo yote wayaelekeze kwa mama, mama nae kutokana na kukosa msingi mzuri wa familia hushindwa kumshirikisha baba.

Mwisho wa siku watoto humuona mama ndo kila kitu katka maisha yao, na hata watakapofanikiwa bado mama atakuwa rafiki wa karibu sana kuliko baba yao, hii hupelekea mama kula hadi vilivyofichwa uvunguni wakati huo baba akiambulia tabasamu pekee kutoka kwa wanawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na huu ushauri mzuri nimemwelewa mtoa mada but pia itategemeana na akili ya mtu,watoto wa kike ni rahisi sana kulishwa sumu na mama kuliko wanaume but tatizo la wanaume ni kuegemea familia zao
Point ya mtoa mada ni kujiandaa na uzee bila kutegemea watoto
 
Kwanza kabisa niombe radhi kwa kuingia uwanja huu pasipo ruksa ya mtoa uzi.
********************************************

Matokeo ya leo ni maamuzi mliyoyaishi wazazi tangu mwanzo wa kuiunda NDOA yenu.

Tusipandikize sumu kwa baba watarajiwa waamini hiki kilichowasilishwa hapa na pindi waingiapo katika ndoa waishi maisha yaliyojaa hofu (NDOA haitakuwa yenye furaha kamwe).
Siku zote malezi ya watoto hujengwa katika msingi ulio bora baina ya wazazi wote wawili (Baba na mama).

Mwisho wa siku watoto humuona mama ndo kila kitu katka maisha yao, na hata watakapofanikiwa bado mama atakuwa rafiki wa karibu sana kuliko baba yao, hii hupelekea mama kula hadi vilivyofichwa uvunguni wakati huo baba akiambulia tabasamu pekee kutoka kwa wanawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtetezi wa wanawake JF!!

🙂🙂🙂 Nakupenda hapo tu!!
 
Mimi ni kijana na sijaoa ila hili huwa linaniuma sana.
Wamama wanapenda sana kuvuta usikivu wa watoto hususan wakiume.
Ilimradi apate kauli kwenye nyumba mzee anapoishiwa nguvu.
Na vijana weng wamepotelea apo.
Ukikaa na wamama utasikia mabaya tu ya wazee, tena kwa kuigiza wanaweza ata kulia kinafki. Usipotumia busara utamchukia mzee kila wakat,kumbe mzee anaweza akawa nayake mengi sana moyon .
MWANAUME KUMSEMA MKEWE NI AIBU KWAKE. ILA WAMAMA SIJUI KWANN HAWAJIFUNZI KUMSITIRI MZEE HUSUSAN WAKAT WA UZEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
same idea different design.jpg
 
Mimi naamini hakuna baba aliyewajali na kuwapenda watoto wake alafu watoto waache kumtunza uzeeni, nasema hakuna na hawatakuja kutokea...! Na siku zote watoto humpenda yule mzazi anayeonekana kuonea na mwenzie, awe mama au baba...! Hivyo jitahidi usionekane unamuoanea mkeo, kwani watoto wakigundua hilo utapata tabu sana uzeeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom