Tafadhali Thread hii wasisome wanawake ni kwa wanaume tu.

Bro nakuelewa,

Bahati nzuri nimepata kushuhudia unacho zungumza hapa ktk familia yangu(Wazazi wangu).

Kutoka hapa nitachukua point ya makundi matatu, hii ni muhimu sana!!

Otherwise ni ukweli akina baba ni wa binafsi sana kutoa muda wao kwa watoto (Familia),

Baba anapotoa pesa ya mahitaji kwa maana ya chakula, karo ya shule na mavazi kwa watoto anajiona kamaliza!! Wakati mama anaenda zaidi ya hapo.

Nitajizungumzia mimi kidogo

Sisi tulipokosea nyumbani ama kufeli mitihani n.k , mama alituadhibu mnoo!! Mama alikuwa mbaya sana kwetu, mzee akisafiri ujue TV haiwashwi hadi weekend, tena usiku tuu!! Ni kumaanisha wakati mwingine woote ni tuition/homework/shughuli ndogondogo za nyumbani na kulala.

Hakukua na mwalimu hasiye mfahamu mama, kila wakati yupo na sisi!! Lakini si baba!!!

Unaweza kuona mazingira hayo,Mama alijenga mahusiano ya karibu na watoto zaidi kuliko baba (kama ilivyo kwa wanawake wengi), na ukisema mama aliyafanya kwa makusudi ili tumpende ni UONGO!! Sa babu tulimpenda baba zaidi, hakua anatuchapa, akiwa nyumbani Tv inawashwa full time na mengine mengi, baba hakua mkororfi kabisaa!!!

Sasa story inageuka, tumekuwa watu wazima na mzee ni mstaafu!! Muda mwingi yupo nyumbani tofauti na zamani. Ajabu ni kwamba tunapokuwepo nyumbani, naweza kukaa na mzee si zaidi ya nusu saa kwa story, nahapo iwe tunazungumzia mpira ama issues za kifamilia Tofauti na nikiwa na mama!! Anajua mengi kuhusu mimi na mipango yangu mingi!! Hii ni kwasababu ali invest mahusiano kwetu!!

Kwa hivyo hizi shutma mnazoelekeza kwa kina mama zinaweza zisiwe za kweli, kina baba jaribuni kuwa karibu na wanenu, jenga mazoea ya kutaka kujua mawazo na uwezo wa wanenu kifikra na kitabia pia. Kutoa pesa haikufanyi kuwa baba bora kupendwa na watoto kama mnavyo dai hapa.

Mwisho nimalize hivi, nyumbani huwa wazee wanaacha pesa kwa chakula, na familia yote inahudumiwa kwa pesa aloachiwa mama. Mara kadhaa kina mama wanaandaa kulingana na pesa aloachiwa, iwe ni dagaa Ugali ama wali maharage ataandaa kulingana na pesa aloachiwa. Nimegundua kwa nini watoto huwa wanawajari sana mama zao kwa mavazi na chakila wakati wa uzee ama baada ya kuajiriwa!! Jiulize wewe mleta mada, kila siku ukiwa Ofisini kwako, kuanzia B/F, Lunch unatumia kiasi gani?? Je, ubora wa chakula unaopata ni sawa na kile inapata familia??

Sitaki kuandika sana, Wababa tuache Ubinafsi!!
 
mzee baba huo mda wa baba kukaa na watoto anapat wap aache kutafut mahitaj ya familia? Mama n mlez na muangaliz wa watot mda mwingi ndo maana anapat mda wa kupenyeza na mambo yake ila mm ambay n baba ctarajii kumuona mama Bora zaidi ya mama licha ya ukwel kwamba nimekua na mama mda mwingi
 
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kusikia mwanamuziki duniani akimuimba baba yake ni mama mama mama tu na hata vijana Wa Leo nao ni mama zao tu sasa mwanaume ukionyesha mapenzi sana Kwa mama watoto nao wanaona nawe ukizeeka tegemea mkeo atapendwa zaidi na watoto,kinachotakiwa wanaume wabadilike wabalance upendo maana baba jamani anasulubika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee baba huo mda wa baba kukaa na watoto anapat wap aache kutafut mahitaj ya familia? Mama n mlez na muangaliz wa watot mda mwingi ndo maana anapat mda wa kupenyeza na mambo yake ila mm ambay n baba ctarajii kumuona mama Bora zaidi ya mama licha ya ukwel kwamba nimekua na mama mda mwingi
@ ChoiceVariable umeamua kuegemea upande wa baba, lakini ukweli ni kwamba wababa mnajisahau sana kama nanyi muda wenu wahitajika sana kwa watoto...Unavyosema baba atapata wapi muda wa kukaa na watoto badala ya kutafuta pesa, mama anajigawa vipi katika majukumu yake ya ofisini + nyumbani???
Mama pia muda mwingi anautumia kazini kupata chochote kitu lakini bado anapata muda wa kupangilia familia ile nini muda gani, usafi, afya ya watoto.

Hao wamama wasomi wanaachia hayo majukumu kwa dada wa kazi au ndugu wa kike waliomtafuta afu ukumbuk wanawake ni watu wa huruma za kweli na unafiki hata upuuzi wanatetea,mm nmekua baba nmeyajua baba alikuaga ananambia uzuri na ww ni mwanaume utayajua ko huwa nasikilizaga wazazi kwa tahadhari afu wamama Wana visasi wakikuchukia
 
Ndio mpunguze kuzaa ... Unakuta mtu anazalisha watoto 6s ..shughuli inakuwa kwenye malezi... watoto wanampa stress kila kukicha ... hatimae akija kufaulu kufanikisha ndoto zao ..baba anaanza kuishi maisha ya kutia simanzi kama mbwa koko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko sahihi ila mwanamke hana kwake bali ana kwao, akiwa kwa wazazi sawa, kwa mumuwe oyee na kwa wanae ni bomba tu. pili mama ni mara 3 zaidi ya baba jao waswahili husema ukiona unampenda sana mama kuliko baba ujuwe una homoni za kike nearli to nyingi
 
Hamuwezi kulingana na mama nyie wakaka/wababa hata nyie mnalijua hilo.
 
''Mwanamke kama hamjazaa...mnakuwa mnapendana sana...lakini mkishazaa na watoto wakishakuwa wakubwa upendo anauhamishia kwa watoto na hapo tabu ndipo inapoanza''- hii kauli aliwahi kuniambia mzee mmoja sijui kama ni kweli lakini...
 
NIMEITOA MAHALI KAMA ILIVYO KUTOKA KWENYE TIMELINE YA RAFIKI YANGU

NAOMBA 'MWANAMKE' YEYOTE ASISOME UJUMBE HUU.
Waraka huu ni mahsusi kwa wanamume tu. Nipotumiwa kwa mara ya kwanza, ulikuwa kwa lugha ya kigeni, lakini sasa nimeuleta katika Kiswahili ukiwa na ziada ya nasaha zangu ili ujumbe ufike mbali.
Ukichunguza utagundua kwamba, kumekuwepo na kasumba kwa watoto wengi kuwatii na kuwajali zaidi mama zao kuliko baba zao. Hali hii imezoeleka kiasi cha kuonekana ni jambo la kawaida kabisa.
Baada ya kushuhudia akina baba wengi wakivuja machozi, jasho na damu kwa kufanya kazi za sulba karibu maisha yao yote ya ujana ili tu kuwahudumia mke na watoto, na mwishowe wakiishia kudhalilika uzeeni na kufa kwa vihoro, nimeona niwafunulie pazia kubwa mpate kufumbua fumbo hili. Hivyo, kama wewe ni baba au baba mtarajiwa, makinika na ujumbe huu kwa mustawa wa maisha yako uzeeni.

Ewe baba, kumbuka, miaka kadhaa ijayo mkeo atakuacha nyumbani kwako (si kwa talaka), na kuanza kuruka leo kwa bintiye huyu, kesho kwa mwanaye yule. Atakwambia ati huko anakwenda kupumzika. Lakini wewe kama mume (baba), licha ya kuwa na haki na wanao, hautoweza kufanya hivyo. Utabaki ukilinda nyumba yako na kuisubiri siku isiyo na jina, ambayo mkeo ataamua kurudi.

Sasa jitambue, wewe ni kama 'mhudumu' tu ndani ya hiyo familia unayoiita ni ya kwako. Hiyo nyumba uliyopambana kuijenga si yako - ni mali ya watoto wako na mkeo. Hata kuiuza tu huruhusiwi. Mume ni kama trekta lijengalo barabara nzuri na imara, lakini mara baada ya ujenzi wa barabara kukamilika, litaletwa gari maalumu kuja kulibeba trekta juujuu na kuliondoa barabarani - kwa madai kuwa likipita hapo litaiharibu barabara. Yaani, trekta haliruhusiwi kupita kwenye barabara liliyoitengeneza lenyewe. Hivyo ndivyo hututokea akina baba. Tunajikusuru, tunasulubika, tunaingia madeni, tunavaa nguo chakavu, nk, ili tu kuwaridhisha watoto wasome vizuri. Lakini wakishahitimu na kuanza kujitegemea, hapo ndipo umuhimu wa baba unapomalizika na umakini wao huegemea kwa mama zao. Yumkini ni mama zao ndiyo huwapandikiza chuki vichwani mwao, kwa sababu wewe umekuwa ukiwahudumia bila kuwakaririsha jitihada zako lakini mama amekuwa akitumia mdomo kuhodhi sifa zote.

Ikifikia mahala unasikia zile kauli za akina mama wengi: "Isingelikuwa mimi, usingekwenda shule!" Au "baba yako alichojua yeye ni pombe na wanawake wakati mimi nikitaabika kukuleeniu!" Ujue ule muda wa kuondolewa lile trekta lililojenga barabara umewadia.

Kimsingi, mtoto atakapoanza kufanya kazi, baba huwa amekwishastafu na mategemeo yake hubaki kwa watoto. Lakini huyo mtoto aliyefanikiwa, anapofika kutembelea familia baada ya mwaka mzima, masikini baba ataambulia shilingi elfu ishirini tu - tena mbele ya mkewe, ilhali mkewe (mama) atapewa hata laki moja akiwa peke yake jikoni. Kisanga kitaanza mtoto akishaondoka. Mama atamtaka baba atoe pesa kwa ajili ya matumizi (si aliziona wakati unapewa!?). Usipotoa, utaambulia uji usio na sukari. Na ukitoa, mtatumia nyote ndani. Lakini mama yeye ataamua ale bata atakavyo, kwakuwa maamuzi juu ya pesa aliyopewa faraghani ni siri yake na shetani wake. Hii ni moja kati ya sababu za akina baba wengi kufa mapema kwa vihoro (kwani hujaona mtaani wajane ni wengi kuliko wagane?).

Kwenye maisha ya uzeeni, kila uchao mama huruka kwenda kula bata na watoto wake huko ughaibuni ilhali baba hubaki nyumbani akitafuna mihogo na kunywa ukungu. Baada ya muda mrefu kupita, mama aliyenawiri kwa kupetiwa na watoto, akirudi nyumbani huanza kumshangaa baba aliyesawajika kwa kukosa uangalizi na usaidizi. Ikifikia hapo, usishangae kusikia watoto wako wametafutiwa 'anko'. Ndiyo - mume mwenziyo.

Nakutahadharisha ewe baba mwenzangu, dunia hii iliyojaa ghururi na hadaa haina huruma kwa waume-wazee ambao hawakujiandalia mazingira ya kujinufaisha walipokuwa vijana. Sasa basi, ukijenga nyumba yako, hakikisha kila mmoja anaelewa kuwa pale ni kwako - na si kwao. Jenga biashara mapema itakayokuja kukufaa uzeeni. Simika nguzo madhubuti utakazokuja kuegemea bila kutetereka huko uzeeni. Jenga mahusiano mema na marafiki watakaokufariji kipindi wanao watakapokuwa ubavuni mwa mama yao. Kipindi hiki cha ujana ndiyo sahihi kujishirikisha kwenye jumuiya na nyumba za ibada ambako utapata matumaini na msaada wa Muumba wako kipindi uzee utakapobisha hodi.

Uzee ni mzigo mzito kubebeka kwa akina walioendekeza kuwaandalia maisha watoto pekee kuliko kujihadhari na hatma za maisha yao ya baadaye. Kuchacha mfukoni na kukosa wafariji wema kati ya marafiki zako kipindi cha uzeeni, ni kama hukumu ya kifo chako. Ni suala la kusubiri tu saa ya ufu.

Zingatia haya makundi makuu matatu muhimu, utakayoyahitaji kadri unavyozeeka: familia (nduguzo), waumini wenziyo wa dini na marafiki zako wa ujanani (shuleni, kazini na mtaani).

Ewe baba mwenzangu, kubali au kataa, ukishagonga miaka 60 kwenda juu, upweke ndiyo kitu cha kwanza kitakachohatarisha uhai wako, kwani muda huo watoto uliowapigania kwa udi na uvumba, watakuwa busy kujenga familia zao kama tufanyavyo sisi hivi sasa. Ni muda huu ndipo utakapoanza kuona umuhimu wa makundi matatu niliyoyataja hapo juu.

Cha kufanya, pamoja na ugumu wa ratiba zako, tenga muda wa kwenda kusalimiana na kupiga soga walau kidogo tu na wale watakaokuja kuwa matabibu wako wa msongo wa mawazo wakati wa uzeeni. Usipowaandaa leo, hawatopatikana kesho. Wanaoshuhudia jitihada zako hivi leo, ni marafiki hawa wa ujanani - hao ndiyo watakaokuja kukutetea kwa kusadikisha ukweli dhidi ya hila na ngendembwe kwamba uliendekeza kuuchapa ulabu na wanawake badala ya familia.
Maendeleo mazuri ya wanao yasikuhadae ukaanza kujipiga kifua, mbele ya jumuiya na marafiki ambao siku si nyingi utawahitaji kukufariji kipindi hao wanao watakapokuwa busy kujenga familia zao - ilhali muda mchache watakaobakia nao wakiutumia kwa mama zao.

Popote mlipo akina baba wote gongeni cheers huku mkisambaza ujumbe huu kama sehemu ya kwanza ya maandalizi.
Asante sana

Kwelii tupuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka raha ya uzee ni kweli unapaswa kujiandaa kipindi cha ujana,
Na wengi wetu huwa tunakosea sana wakati wa kuoa tu!
Ila ukitaka raha ya uzee, usikubali kutofautiana sana na mwanamke angalau mpishane miaka miwili au mitatu uzee wako utafaidi sana!

Lakini unakuta mwanaume una miaka 35 unaoa binti wa miaka 25 au 23 hapo jua tu utapata tabu sana!
35 kwa 25 hakuna tofauti sana. Mkifika 75/65 mtakuwa sawa tu
 
Back
Top Bottom