chifu mkwawa

omahabuba

Member
Mar 16, 2011
6
1
mwalimu wa historia aliuliza swali wanafunzi.
mwalimu;.hivi ni nani alimuua chifu mkwawa?
mwanafunzi wa kwanza: sio mimi....
mwanafunzi wa pili: wala sihusiki.....
mwanafunzi wa tatu: kwanza mimi jana sikuja shule..
mwalimu alipoona wanafunzi wote majuha akamuita mkuu wa shule. mkuu wa shule aliuliza swali lile lile, mambo yakawa vilevile. Ndipo mkuu wa shule alipomuita mwalimu pembeni na kumnong'oneza "LAK
INI UNA UHAKIKA MUUAJI YUPO DARASA HILI?
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Tuna hasara na baadhi ya walimu!

LAKINI UNA UHAKIKA MUUAJI YUPO DARASA HILI?

Huyo ndiyo Mwalimu Mkuu!

Na bado tutegemee wanafunzi wazuri!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom