Nimesafiri km za kutosha kuja kujitafakari

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,749
Reaction score
18,095
Nipo mkoa wa mbali sanaaa, juu ya milima kwenye kijumba cha mbao, napigwa na baridi na bia yangu mkononi, nawaza mengi.

Kwamba nchi nyingine zilijengwa na fundi tz ilijengwa na saidia fundi?

Kwanini kuitwa mtanzania inakua kama kushushiwa vyeo?

Yani mtu Burundi na mrwanda wapo proud na nchi Yao kuliko mtZ?

Je Tanzania ni Nchi tuu lakini sio Taifa?
 
Dunia ipo huru na inafikika takribani kila kona!, mkuu jichagulie taifa kaishi ikibidi badili na uraia kabisa.

NB: unakunywa bia gani namimi nikuunge mkono..?
 
Safari ndio bia Bora zaidi kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia
 
Back
Top Bottom