Tafadhali msaada kutoka kwa wenye ufahamu

Tafadhali msaada kutoka kwa wenye ufahamu

Brian Spilner

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2,242
Reaction score
6,490
Mtanisamehe kama imewahi ulizwa humu, me sikuiona, mtu kaniuliza na me cna jibu.

Mtu wenye jicho moja anaeleza kuwa hajalala kwakusema "Niko macho" au niko "Niko jicho?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom