Ulituambia mwenyewe kuwa orodha ya majina yote ya wauza unga unayo mezani kwako na kuwa ulikuwa unasubiri muda mwafaka uyatangaze hadharani, nilisubiri sana. Nilidhani leo ambayo ni siku yako ya mwisho kulala magogoni utayataja ili kazi ya kuyashughulikia hayo majizi aanze nayo msukuma, watani zetu huwa wanasema kazi ngumu mpe msukuma lakini hadi sasa hujafanya hivyo.
Basi nakuomba kesho wakati unakabidhi funguo za ofisi usisahau ukaondoka nayo mkabidhi rais JPM ayafanyie kazi maana yeye ni kazi tu.
Asante kwa kunisikiliza na kwa heri.
Basi nakuomba kesho wakati unakabidhi funguo za ofisi usisahau ukaondoka nayo mkabidhi rais JPM ayafanyie kazi maana yeye ni kazi tu.
Asante kwa kunisikiliza na kwa heri.