Tafadhali CAG usijiuzulu

Je akiteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza akatae ?
 
Acheni unafiki nyie.

Ni juzi tu Zitto alikuwa anaranda nchi nzima KUMLISHA CAG maneno ya uongo, eti ametoa hati chafu kwa serikali.

Sijamsikia mtu yoyote akimuonea huruma CAG na kumsihi asijiuzuru kwa kudhalilishwa.
 
Umesoma ripoti yote ya CAG kweli??
 
Umesoma ripoti yote ya CAG kweli??
Ukimaanisha nini hapa?

Maana yake ninayo hapa hiyo ripoti. Usilete ule uswahili wa Zitto kuwa eti "isome ripoti ukurasa huu halafu utafakari mwenyewe."

That won't cut it. Hiyo itakuwa kumlisha maneno CAG.
 
Basi unahitaji kusaidiwa yani unahitaji msaada mkubwa wewe...
 
Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Ove

Mussa Assad hakuteuliwa na Magufuli hiyo ni appointment ya Mkwere enzi zake za ISLAMIZATION of Presidential appointments!! Hata hivyo huyu bwana yuko vizuri professionally ingawa ana matatizo kama ya swahiba wake Dau ya kuona kila kitu through religious lenses.

Magufuli ni mtu wa visasi na kumbukeni kuwa huyu CAG ndio aliyefumua uchafu wa Magufuli wa upotevu wa fedha nyingi za ujenzi wa barabara ambazo hadi leo audit queries zake hazijajibiwa kule wizara ya ujenzi!!! Hivyo kwavile CAG ana security of tenure anamgojea tu mkataba wake uishe amuweke NGOSHA mwingine hapo ambae atamfichia uozo wake. Magufuli ana viashilia vya dikteta ambae anataka total loyalty kutoka kwa wateule wake hivyo hana amani na wafanya kazi wote ambao amewakuta lakini hakuwateuwa yeye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…