Ni kweli. Ila soma hiiingekuwa mimi CAG ningejiudhuru sio tu kwa kusimamishwa bali kwa kudhalilisha u profesa wake,kwa maelezo ya naibu waziri fedha ina manisha CAG hakujua kuwa zile ni recevable! na hakujua kuwa TRA wanatumia mfumo wa accrual basis richa ya kupelekewa nyaraka na serikali na kwa maana hiyo ile report yake yote haina maana na ni takataka
Utajiri wa threads za kifalaEleza trillion 1.5 ilipo? Leo ndo umekumbuka kuwa tunaitajirisha JF!!!... Kwa nini mna wivu na utajiri wa wenzenu?
Trillion 1.5 imetumika wapi?Tulia wewe siasa zako nyepesi we siyo saiz yangu
Hatari... Chama cha Mumiani.Chama cha Mumiani wanaweza kumpeleka kwenye upendo zaidi
Ukweli mtupu...Kama mifumo iko vizuri na inafanya kazi kwa sheria, kanuni na taratibu bila kuvunja katiba ya nchi, sioni sababu ya kuulizana maswali kama mko darasani kwa lengo la kupata publicity, if you act smart jamii itakuelewa tu, hauna haja ya kuuliza maswali ya kutafuta sympathy kwa wananchi, shukrani!
Mimi namfahamu huyu CAG, ni credible sana. Angalau kwa yeye kuwepo pale tutakuwa tunajua upigaji unaofanywa na Rais/Serikali kuu. Kwa wasiojua hili la CAG linampasua kichwa jiwe. Anatamani aweke mtu wake pale.Mimi nina wasiwasi huo pia Mkuu, baada ya kudhalilishwa leo hadharani hataona umuhimu wa kuendelea kuwepo na akiondoka kitaletwa kikaragosi cha jiwe ambacho hakitagusa ovu lolote lile bali kula bata zake kimya kimya. Angalia TAKUKURU! Pale hakuna chochote cha maana kinachoendelea zaidi ya kutafuna mabilioni ya walipa kodi.
CAG najua huwa unapita humu nami nakuomba sana usijiuzulu Taifa linakuhitaji kuliko wakati mwingine wowote ili kupambana na maovu chungu nzima ndani ya hii Serikali na taasisi zake mbali mbali.
Hapa ni uwanja wa elimu, usiwe mchoyo weka material hapaCAG hateuliwi na Rais. Nenda kaelimike
Na CCM wamejipa kazi ya kusambaza ulaghai... Ukweli una kazi sana kupenya katikati ya MaCCMYaan tatizo la Tanzania ni moja tu kwamba CCM ni wengi mnooo... Na wengi wao hawajui kuchambua au kupembua mambo... Iwe kwa makusudi au isiwe kwa makusud....
Kwa maana hiyo.. Hakuna au kuna wazelendo wachache sana ndani ya CCM
Yeye anajiona yupo sahihi..Sikh hizi kila hafla anaita wakuu wa vyombo vya usalama, ili kutisha watu, kulikuwa na ulazima gani CAG kuwepo pale??
kulikuwa na ulazima gani kuongelea mambo yanashugulukiwa na bungeni
Jiwe limepatikana lieleze zilipo 1.5 trillion na sio kutoa vitisho
Mungu atatuvusha. Haya majizi ipo siku yaoCAG ni mcha Mungu sana ana mbwembwe ukikutana naye anapokuwa anatoka maikitini uwezi amini kama ni yule kichwa mwenye CV ya kurasa 14. Anamwamini sana Mungu hivyo tusiwe na wasiwasi na visokoeokwino kumfanyia chochote. Hata Utoh anamwamini sana yeye chakula yake ni sala tuu
kweli 1.5 trillion ipo wapi?
Bado unajitekenya masabuli na kucheka empty setLumumba sipajui. Anyway hata kama kateuliwa na mtangulizi wake kwa hiyo anawajibika kwa nani sasa. Aende kwa mkwere basi. Zero digits kabisa mkuu
IgnoredBado unajitekenya masabuli na kucheka empty set
Inaonekana alitokea kuswali, hata uvaaji wake. Labda alikurupushwa na wazee wa suti nyeusiCAG ndo mjinga alienda ikuru kufanya nini?
Anatamani atudhibiti kama China mtu wa ajabu sana.Eti "china google haiko huru".sasa kwani sisi wachina?