Nashkuru mzee wangu alipata akili ya kujijenga kimaisha sinse 1980's
Yaliokupata mimi kama mwanao nasema inatosha.
1.WALIKUZOMEA
2.WALIKUHONGA WALI NA SODA,
3.WALIKUITA INTARAHAMWE,
Hivi baba hayakuchomi haya haya?
Ukirudi tena bungeni mimi naomba uniondoe ktk orodha ya watoto wako.
intarahamwe huyoNashkuru mzee wangu alipata akili ya kujijenga kimaisha sinse 1980's
Mkuu inavyoonekana mbele ya pesa wewe uko tayari kufanya au kufanywa chochote.