tafadali naomba upitie hapa

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
habari zenu za great thinkers!!!
naomba kujulishwa kuhusu hii kitu inaitwa kahawa,kuna jamaa yangu ambaye amenishauri nitumie kahawa kabla ya kuingia kwenye mechi kwani amedai hutoki uwanjani mpaka uamue wewe,sasa naomba kuuliza hii kitu kahawa haina madhara yoyote??ni nini faida yake na hasara yake!!!
 
elimu yako ni gani? watu wamechoka andika comments kwa duwazi!
 
I have a scintificaly proven product that is free of side effects.what it does is to increase the level of vasodilator nitric oxide and increase blood flow to the penile vessels.its a bit expensive bt its cardio protective.kahawa ni stimulant drug so it takes away anxiety.you ar psychologicaly fit bt idealy no.
 
habari zenu za great thinkers!!!
naomba kujulishwa kuhusu hii kitu inaitwa kahawa,kuna jamaa yangu ambaye amenishauri nitumie kahawa kabla ya kuingia kwenye mechi kwani amedai hutoki uwanjani mpaka uamue wewe,sasa naomba kuuliza hii kitu kahawa haina madhara yoyote??ni nini faida yake na hasara yake!!!

Dah,umenikumbusha mbali kidogo,nilikuwa na rafiki yangu alikuwa anapenda sana kunywa kahawa asubuhi,vikombe 2-3,alikuwa na uwezo wa kutembea na wanawake 3-4 kwa siku,sasa inawezekana ilikuwa ni zile kahawa alizokuwa anakunywa na ki-umri alikuwa na miaka ya hamsini za mwanzoni yaani miaka 50-54 na hao ni wanawake wa nje kwani nyumbani alikuwa ana wake wawili(it's amazing but true),Sasa ngoja nijaribu kufanya ka-research kuona kama kuna ukweli wa hilo then ntakujulisha.
 
Back
Top Bottom