Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,215
- 64,308
ujasiriamali wa hisia
Nimejua baada ya kulalamika kuwa umefunguliwa uzi sababu ya kumdanga Mtoa mada sh 2000/= tuUmejuaje najitambua?
Kwahiyo kulalamika ndio kujitambua?Nimejua baada ya kulalamika kuwa umefunguliwa uzi sababu ya kumdanga Mtoa mada sh 2000/= tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kuzipata wapi izo surual mkuu?Hivi hizo suruali wanazovaa hao ni za kiume kweli?
we nae elfu mbili umeona hatari sana kuituma chaaaa! wanaume wa siku hizi mmekuwaje ebu acheni ubahiliAnakuona kwa Facebook uko umepiga picha ukiwa smart
..anakufuata inbox hello mambo ukimjibu SMS kama tatu tu utasikia nitumie vocha ya elfu mbili tuchart nataka nitoke humu!!!!
Hivi wanatuchukuliaje sisi????View attachment 1012506
Sent using Jamii Forums mobile app