Tabu kweli kweli hawa mademu wa siku hizi..

Tabu kweli kweli hawa mademu wa siku hizi..

Nyagalu blood

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
5
Reaction score
13
Anakuona kwa Facebook uko umepiga picha ukiwa smart
..anakufuata inbox hello mambo ukimjibu SMS kama tatu tu utasikia nitumie vocha ya elfu mbili tuchart nataka nitoke humu!!!!

Hivi wanatuchukuliaje sisi????
IMG_20181231_085221.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa picha uliyotuwekea wacha tu waendelee kukwambia uwatumie vocha ili ukimbie mwenyewe.
Acha tu niwe nakimbia inasaidia sana..

"All the gods, all the heavens, all the hells are within you"
 
Back
Top Bottom