koo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 258
- 67
Nilikuwepo kwenye tukio kwakweri serikali haina wanasheria kwajinsi mh lisu Tundu alivyo kuwa makini kutumia vifungu vya sheria kutetea haki ya makamanda kupata dhamana niliamini anauwezo mkubwa sana katika taaluma hiyo wanasheria wa serikali walibaki kukubali kila alicho sema lisu pasipo kupinga japo mwanzoni walitaka kupinga hakim alipowataka kusema wanapinga kwa kutumia kifungu gani cha sheria walibaki kujiuma na mwishoe kuafikiana na hoja za lisu na hatimae hakim pia akatoa dhamana.