Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

Tatizo la malaria sugu ilikuwa ni mlungula aliokuwa anapokea toka CCM,but I know him,ni mwanamapinduzi mzuri....But,nilichokipata ni kuwa kanyimwa safari ya Igunga,na mgao wake wa safari hiyo kama shs 15,000,000/= hivi,na hii uwa wanagawana watu walipangwa kupambana na kila mtu anayeisema vibaya CCM,iwe kwenye mikutano ya hadhara,vijiweni na kwenye mitandao ya kijamii kama JF nk...Na kuna member wengi kwenye hii committee..Mwita25 ni moja ya member wapya katika kundi hili...

inawezekana kweli? lakini CCM wameiba pesa ndefu mpaka sasa, jeuri hiyo wanayo. hata hivyo siku zao zinahesabika na bila shaka yule dogo menye kifaduro-rejao yupo kundi hilo

Jamani,

Mimi sijamuelewa vizuri aliyeleta taarifa hii. Taarifa ni nzuri kwamba wameachiwa. Sasa maswali yafuatayo hayana majibu:

1. Wameachiwa na polisi kwamba hakuna ushahidi wa kuwafikisha mahakamani.

2. Wameachiwa na polisi kwa maelezo kwamba warudi kuripoti kesho/wiki ijayo au?

3. Wamefikishwa mahakamani, wakasomewa shitaka (lipi) halafu wameachiwa kwa dhamana. Kama jibu la hapa ni ndiyo, wameachiwa kwa masharti gani.

Tafadhali yeyote mwenye majibu ya maswali haya atusaidie.

Sio kila kitu utafutiwe jitahidi na wewe kutafuta habari.

Sijawahi kusikia wala kuona Watu wamemkamata Mhalifu halafu wao ndio wanafunguliwa mashtaka! Na vile vile tukumbuke kuwa Mhalifu hana jinsia. Awe wa Kike au wa Kiume, ilimradi tu anajihusisha kwenye vitendo vya kihuni, hana budi kutiwa nguvuni.

Hongera Makamanda, nafikiri hilo somo la uraia kwa vitendo mlilolitoa huko Igunga mmetutia moyo sana, nasi tutafanya hivyo hivyo kwa hawa wakuda wengine 2015 watakapokuja kufanya kama hivyo kwa jinsi walivyozoea kufanya kwenye chaguzi zote.

Huku ndani ya Facebook (mtandao wa thinkers!) kuna watu hawana wala hawataki kujua updates. Kuna mmoja anauliza kama ni kweli wameachiwa. Muwe mnasikiliza na redio na kusurf kwenye mitandao kujiweka sawa. Wamesomewa mashtaka manne wakayakana yote. Wameachiwa kwa mdhamana Shs milioni 5 kwa mdhamini. Tunapotuma hii thread, wako njiani kwenda kwenye uwanja wa vita (Igunga). Hakuna kulala mpaka kieleweke. Kamanda Tundu Lissu alikesha njiani akisafiri kutoka Igunga kuwahi TBR. Ama kweli hiki ndio kipimo cha kiongozi wa watu. Anaguswa na uonevu wa wanachaam na wananchi kwa ujumla. Mengi yamesemwa lakini kubwa ni kwamba viongozi wa serkali wakae mbali na uchaguzi wawaachie wana-Igunga wafanye zoezi hili muhimu kwa maisha yao.

Jamani,

Mimi sijamuelewa vizuri aliyeleta taarifa hii. Taarifa ni nzuri kwamba wameachiwa. Sasa maswali yafuatayo hayana majibu:

1. Wameachiwa na polisi kwamba hakuna ushahidi wa kuwafikisha mahakamani.

2. Wameachiwa na polisi kwa maelezo kwamba warudi kuripoti kesho/wiki ijayo au?

3. Wamefikishwa mahakamani, wakasomewa shitaka (lipi) halafu wameachiwa kwa dhamana. Kama jibu la hapa ni ndiyo, wameachiwa kwa masharti gani.

Tafadhali yeyote mwenye majibu ya maswali haya atusaidie.

wameachiwa kwa dhamana.

Sometimes members wa JF tunakuwa kama serikali yetu. Tukipewa hint ya habari badala ya kutumia nafasi zetu kutafuta details zaidi tunamtaka mleta hint awe responsible kwa hilo.

Viva TUNDU LISU. Mungu atakuongoza kwa mema unayoyasimamia. Tunaomba uzidi kusimamia haki katika chama makini ambacha hakika kwa sasa ndio tumaini na k1mb1l10 l4 W474nz4n14. H4kun4 kul4l4 mp4k4 k13l3w3k3.

Poleni saana MAKAMANDA tupo pamoja nanyi ktk kujeinga tanzania mpya VIVA CHADEMA!!

Wana kesi za kujibu na kesi imeahirishwa mpaka tar 10 ya mwezi wa 10 na wamepewa mzamana wa sh mil5 kila wawili. mungu ibaliki chadema mungu ibaliki Tanzania

Jamani,

Mimi sijamuelewa vizuri aliyeleta taarifa hii. Taarifa ni nzuri kwamba wameachiwa. Sasa maswali yafuatayo hayana majibu:

1. Wameachiwa na polisi kwamba hakuna ushahidi wa kuwafikisha mahakamani.

2. Wameachiwa na polisi kwa maelezo kwamba warudi kuripoti kesho/wiki ijayo au?

3. Wamefikishwa mahakamani, wakasomewa shitaka (lipi) halafu wameachiwa kwa dhamana. Kama jibu la hapa ni ndiyo, wameachiwa kwa masharti gani.

Tafadhali yeyote mwenye majibu ya maswali haya atusaidie.

Kwasasa we ujue wameachiwa...!!! Hayo majibu yatapatikana tu hayana uharaka sana!!!! Tulichokuwa tunahitaji ni kurudi kwenye uwanja wa mapambano haraka na mapema..!! Kusiweko na mgawanyiko wengine kufuatilia watu polisi wengine kupambana!!! Na magamba yanajaribu kutumia mbinu hyo, ila yalishashindwa.

From the bottom of my heart, mungu akinijalia mtoto wa kiume nitamwita Lissu

Back
Top Bottom