Tabora to Kigoma via Urambo, Barabara ikoje?

Tabora to Kigoma via Urambo, Barabara ikoje?

Hiyo Njia ya Kigoma kupitia Urambo, Kaliua, Uvinza hadi Kigoma ni inshu sana shimo zake lwenye Vumbi zinaweza fika KM 200.
Nawaza tu kwamba Kwanini ukifika Tabora usipite Sikonge, Ipole, Inyonga, Mpanda, Mishamo, Uvinza hadi Kigoma ambayo shimo lake linafikia KM130 hiii ni baaada ya Barabara ya Tabora - Mpanda kukamilika kwa kiwango cha Lami so unaweza endesha Tabora Mpaka 4 Hrs then Mpanda Kigoma 5 Hrs tena
We ni.muongo sana
 
Mkuu pita tu hiyo barabara ya Tabora _Urambo_Kaliua_Uvinza_Kigoma haina shida sana.Lami inatoka Tabora hadi Kaliua.Kutoka hapo unakula vumbi hadi Uvinza halafu unakula Lami hadi kigoma.Ni safari ya takribani saa 6 kutoka Tabora hadi Kigoma.Nakutakia safari njema.
Ww pia ni muongo sana
 
Habari ya Asubuhi wakuu, nna safari ya Kigoma from Dar, Mara ya mwisho nilipitia Nyakanazi-Kakonko-Kibondo-Kasulu, Wenyeji wa ile Barabara wakasema nimezunguka mno, Next time nipitie Tabora-Urambo-Uvinza. Sasa hii njia siijui vizuri naomba ushauri kwa aliyepita siku za karibuni, na lami imeishia wapi kwa sasa? Maana kupitia nyakanazi kuna karibu 200Km za rough road inachosha sana! Naomba ushauri kwa aliyepitia Urambo-Uvinza
Kuna kipande hakijakamilika cha kutoka uvinza-Malagarasi-Kigoma
 
Ukitokaa taboraa Rami mpk mitaa ya isawima mbelee kabisaa yaa kaliua then unatembea kwenye vumbi mpk sehem mojaa anaitwaa ilalanguru ipo Nguruka hapoo unapandaa Rami kiwango cha USA mpk mpetaa baada ya hapo unakulaa vumbi mpk uvinza ukikanyaga Rami uvinza ni mpka kigoma
Ww ni mkweli Sana, umepatia kila kitu. Na wengine hapo juu walipaswa kusema hivi na sio kuongopa
 
Pita ndg Isawima to Ilalanguru rough road ni 38Km then unakula lami ya maana ya kifilipimo Hadi Malagarasi bridge then unapiga rough road Hadi Uvinza town 45 km barabara pamoja na kuwa rough inapitika vyema kabisa, karibu mkuu Mimi nipo Uvinza hapa chuma inapumua baada ya safari ndefu
Ww pia umezungumza ukweli kabisa na umepatia
 
Achana na maoni ya wawili Hao, DSM_KGM via TBR so far so nice Kama njia zozote ujuazo zenye lami. Hutajuta, verify my word and revert..
Acha kumdanganya mwenzio,

Screenshot_20220113-153235.png
 
Nimekueleza huna ulijualo.
Unaanza malagarasi ndio unaenda uvinza. Kuhusu kujengwa ni kweli mkandarasi yupo kazini.
Alafu huyo uliyeleta maelezo yake sio kwamba anajua kila kitu japo yupo sahihi kwa alichoandika
Kwa hiyo kuna lami sio 😁😁😁
 
Uko sahihi. Nimemepita hapo wiki iliyopita
Ukitokaa taboraa Rami mpk mitaa ya isawima mbelee kabisaa yaa kaliua then unatembea kwenye vumbi mpk sehem mojaa anaitwaa ilalanguru ipo Nguruka hapoo unapandaa Rami kiwango cha USA mpk mpetaa baada ya hapo unakulaa vumbi mpk uvinza ukikanyaga Rami uvinza ni mpka kigoma
 
Mrejesho:

Nilitoka Dar saa tisa na nusu alfajiri, kufika manyoni nikala kushoto pale kuelekea Tabora (Njia safi kabisa about 250kms pamenyooka hakuna hata traffic wengi, ila hakikisha umeshaweka mafuta Manyoni maana sheli hakuna mpka mbele sana)

Nilifika Kaliua saa 17:00 jioni, Sikuona sababu ya kulala, wenyeji wakanipa moyo, nikaona na orobox kibao zinaenda so nikaunga nao.

Kiukweli ni nzuri sana kulinganisha na ya Nyakanazi. Kama wadau walivyosema rough road ni jumla ya 90Kms tu, kipande cha kwanza 40km na kinahudumiwa sana kukiwa na tatizo, kipande kingine ni 50m hiki ni kutoka Malagarasi mpka Uvinza. Nacho ni barabara safi kabisa,

nikaunga na kufika Uvinza saa moja na nusu jioni, nilikuwa naelekea Nyarugusu via Kasulu so kuna kipande cha vumbi 72kms to Kasulu. Ila kama unaenda Kigoma ni lami all the way from Uvinza. Nilifika Kasulu saa tatu usiku

Nilienda na gari ya chini tena 2WD na sikupata tatizo lolote, Kurudi nilipita same way, nikawahi zaidi kuanza safari, nvua ilikuwa kali sana lakini barabara inapitika kabisa Nikafanikiwa kufika Dar saa tano usiku, Only this time i had longer pauses barabarani kujinyoosha kidogo.

Ahsanteni sana wote mlionipa Ushauri.
 
nikaunga na kufika Uvinza saa moja na nusu jioni, nilikuwa naelekea Nyarugusu via Kasulu so kuna kipande cha vumbi 72kms to Kasulu. Ila kama unaenda Kigoma ni lami all the way from Uvinza. Nilifika Kasulu saa tatu usiku
Hongera mkuu! Ila ulipofika Uvinza ungenyooka kama unaenda Kigoma mpaka Kidahwe then unaliunga kwenda Kasulu. Hapo ni lami mpaka Kasulu. Ila ungeongeza kilomita kama 60 hivi.😁😁😁😂😂😂
 
Hongera mkuu! Ila ulipofika Uvinza ungenyooka kama unaenda Kigoma mpaka Kidahwe then unaliunga kwenda Kasulu. Hapo ni lami mpaka Kasulu. Ila ungeongeza kilomita kama 60 hivi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu niliangalia kilometer nikaona nyingi sana, Nilikuwa nimechoka mno! Nikauliza bodaboda hii njia imechongwa wakasema ni kama lami, nikauliza siwezi Kutekwa? Wakacheka sana wakasema usalama 100% kuna vijiji nikapiga moyo konde nikapita hiyo njia 1hr niko Kasulu. Ila wakati wa kurudi nilipita Kidahwe maana ilikuwa usiku wa manane nikaogopa wajomba
 
Ni kweli kwa usiku usiku ile njia siyo salama sana ingawa tangu wakimbizi wa Lugufu walipohamishwa angalau matukio yamepungua.
 
Urambo Uvinza wanateka sana ila rami ipo vipande vipande ila ni njia rahisi na yamkato zaidi

Back
Top Bottom