Kwasasa Atcl inafika dar- kgma mara tatu kwa week bei ni nzuri nakushauri panda hiyo unusuru mda wakoHabari ya Asubuhi wakuu, nna safari ya Kigoma from Dar, Mara ya mwisho nilipitia Nyakanazi-Kakonko-Kibondo-Kasulu, Wenyeji wa ile Barabara wakasema nimezunguka mno, Next time nipitie Tabora-Urambo-Uvinza. Sasa hii njia siijui vizuri naomba ushauri kwa aliyepita siku za karibuni, na lami imeishia wapi kwa sasa? Maana kupitia nyakanazi kuna karibu 200Km za rough road inachosha sana! Naomba ushauri kwa aliyepitia Urambo-Uvinza
Mkuu huyo ni middle class aliyezikuta tayari, pigana mkuu na mtu asikupangie cha kufanya, wenye Nia ya kukushauri watafanya hivyo,eti kwa nini usiruke kwa ndege!this I bulshit wakati hajui program zakoKuna Mizigo kusafirisha kwa ndege ni issue mzee! Wazee wa field wananielewa na hapo umepakia watu wa4 wengine!
Barabara sehemu kubwa Ina lami. Kuna vipande viwili vya barabara vinajumla ya 50Km ambavyo havina lami, lakini kuna wakandarasi wameanza kazi. Huna haja ya kupitia Nyakanazi, pitia Urambo safari itakuwa nyepesiHabari ya Asubuhi wakuu, nna safari ya Kigoma from Dar, Mara ya mwisho nilipitia Nyakanazi-Kakonko-Kibondo-Kasulu, Wenyeji wa ile Barabara wakasema nimezunguka mno, Next time nipitie Tabora-Urambo-Uvinza. Sasa hii njia siijui vizuri naomba ushauri kwa aliyepita siku za karibuni, na lami imeishia wapi kwa sasa? Maana kupitia nyakanazi kuna karibu 200Km za rough road inachosha sana! Naomba ushauri kwa aliyepitia Urambo-Uvinza
Ofcourse haijakamilika lami kama 200km hivi ila inapitika.Hiyo Njia ya Kigoma kupitia Urambo, Kaliua, Uvinza hadi Kigoma ni inshu sana shimo zake lwenye Vumbi zinaweza fika KM 200.
Nawaza tu kwamba Kwanini ukifika Tabora usipite Sikonge, Ipole, Inyonga, Mpanda, Mishamo, Uvinza hadi Kigoma ambayo shimo lake linafikia KM130 hiii ni baaada ya Barabara ya Tabora - Mpanda kukamilika kwa kiwango cha Lami so unaweza endesha Tabora Mpaka 4 Hrs then Mpanda Kigoma 5 Hrs tena
Barabara zinapitika hata kwa vits mbovu mkuu ni wewe tuNi Km ngapi rough road? Kuna maeneo ambayo lazima uwe na 4x4?
Hakuna nimewahi safiri na ki corolla from Morogoro to Kigoma, nikafika fesh tuu... kipande cha rough road ni rasta tuu za hapa na pale na dawa yake Gari iwe na mzigo.Ni Km ngapi rough road? Kuna maeneo ambayo lazima uwe na 4x4?
Mimi nililala Kaliua saa moja nikaliamsha saa tano niko Kigoma...Yap wenyeji wamekushaur vizuri toka dar mpaka singida pale manyoni katisha ingia itigi tokea Tabora mjini pumzika asubuhi saa kumi na mbili anza safari ya kigoma pitia urambo, kaliwa, uvinza ndani ya masaa sita upo kigoma mjini
Barabara ni nzuri ondoa shaka hata sienta unaweza fika nayo