Tabora Mpoooo!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
mimi nimetia maguu katika huu mji wa tabora kama kuna mwanajamii yeyote angependa tukutane anipm!Na mimi nitafurahi kukutana na TBR JF!
 
unileteeeasali huko mkuu, vipi umeshawaona mabinti wa tabora wanavyovuta tumbaku?
 
Kuna mshkaji wangu yuko hapo na yumo JF.. Nimshtue akuchek.. Ila make sure una hela ya Beer..maana mshkaji akianza ni mpaka majogoo.
 
Kuna mshkaji wangu yuko hapo na yumo JF.. Nimshtue akuchek.. Ila make sure una hela ya Beer..maana mshkaji akianza ni mpaka majogoo.
acha kumtisha mkuu, au kwa sababu ni tarehe za mwanzo wa mwezi hela bado ipo?
 
Mmh, mbona binti yangu naye kaenda Tabora leo?
Na kanijulisha keshafika.
Asije kuwa ndo anajiita hili jina!!!
 
Njoo Frankman, naangalia ligi ya mashoga ( Premium League).
Nikitoka hapa naenda kula Tipha, then naingia pale zoo(Uhaziri) kujichagulia mwanambuzi kwa ajiri ya matumizi ya jioni hii.
Fanya fasta koz J5 nasanuka.
 
Back
Top Bottom