Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,752
218,339
Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao huku kibwagizo cha #Mwamba Tuvushe kikitamba.

 
Nyomi ya kufa ntu
 
Hakika nikisoma harakati za Nyerere ktk vitabu , simulizi za wazee na intaneti, mwanasiasa mahiri anayeshabihiana na Nyerere kutafuta uhuru wa kweli wa watu ni Mh. Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Maisha yaenda kasi sana ya Bombadia aisee ili hali Sabaya ananyea debe Kisongo Eti Mbowe yupo anazunguka nchi nzima kunadi CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…