Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,426
215,186
Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao huku kibwagizo cha #Mwamba Tuvushe kikitamba.

@chadema_in_blood_shared_a_photo_on_Instagram:_“Mh._Freeman_Mbowe_Katika_picha_ya_pajoma_na_Ma...jpg
 
Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi , amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake , ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao , huku kibwagizo cha #Mwamba Tuvushe kikitamba .

View attachment 1810573
Nyomi ya kufa ntu
 
Maisha yaenda kasi sana ya Bombadia aisee ili hali Sabaya ananyea debe Kisongo Eti Mbowe yupo anazunguka nchi nzima kunadi CHADEMA.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom