Tabora Boys: Special school inayopotea!

Tabora Boys: Special school inayopotea!

UNAMTINDIO WA UBONGO WEWE KAMA UMESOMEA MISHULE YA WALIOFELI FORMSIX KAAPEMBENI KILAZA WEWE,, SHULE VIPAJIMAALUMU NI TABORABoys,kibaha,mzumbe,ilboru kama hutaki kalalwe
too emotional....unaona vipi tukitumia facts zaidi....niko tiari kuweka matokeo yangu hapa j.f na wewe uweke yako tucheki nani kafeli??? je uko tiari???? na je unaweza nipa maana ya "kipaji maalumu"??
jibu maswali tuendelee.....
 
Mkimaliza kusoma huko kwenye spesho skuli zenyu, mje huku maofisini tuwaoneshe kuwa kumbe hamkufundishwa kwamba maofisini huku kuna spesho jobu ambazo sie pekee ndo tutazifanya, ninyi tutawasugulisha mabenchi ile mbaya!-
 
CKULAZIMISHI KUAMINI KUWA KISIMIRI NOW N BEST SCHOOL NA MWAKA JANA ILIIPITA ILBORU NA MWAKA HUU TENA IMEZIPTA VPAJI vyote isipokuwa MZUMBE ndo ilikuwa ya PILI
 
too emotional....unaona vipi tukitumia facts zaidi....niko tiari kuweka matokeo yangu hapa j.f na wewe uweke yako tucheki nani kafeli??? Je uko tiari???? Na je unaweza nipa maana ya "kipaji maalumu"??
Jibu maswali tuendelee.....

umeruvugwa wewe kama umesoma shule ambazo sio za vipaji wewe ni kilaza, na shule za vipaji ni tbrboys, kibaha,mzumbe,ilboru kama hutaki jilaumu kwa kufeli toka hapaa tuliosoma shule za vipaji tujadili
 
KISIMIri ndo iko wapi?

KISIMIRI ipo ARUSHA Combinations zake ni PCM na HKL pia ni CO- Education school but kama unatak kujua nafasi yake GOOGLE tu results zake utazpata na utaikubali
 
CKULAZIMISHI KUAMINI KUWA KISIMIRI NOW N BEST SCHOOL NA MWAKA JANA ILIIPITA ILBORU NA MWAKA HUU TENA IMEZIPTA VPAJI vyote isipokuwa MZUMBE ndo ilikuwa ya PILI

UNAMTINDIO WA UBONGO WEWE, KISIMIRI KUIPITA SPECIAL NDO ULETE KELELE ZA KITOTO HAPA!!, KAMA NI HIVYO MALANGALI IMEWAHI KUWA YA 6 MWAKA2009 NDIO LEO UIFANANISHE NA TABORABOYS AU MZUMBE?? ,REKODI YA MIAKA MIWILI NDIO ULETE KELELE HUMU??HEBU KAAKIMYA UMEFUATILIA REKODI ZA TABORABoys za miaka ya 90?? utakuwa umevurugwa wewe
 
Me cjasema kuwa Tabora boy's kmekwisha ila nmeweka waz kuhsu kisimiri na kama ulisoma tabora na unaona shule yako inazkwa pole shbr uone A TOWN waknyanyua special zao 2
 
me cjasema kuwa tabora boy's kmekwisha ila nmeweka waz kuhsu kisimiri na kama ulisoma tabora na unaona shule yako inazkwa pole shbr uone a town waknyanyua special zao 2

taboraboyz kichwa cha tanzania, kisimiri mkia wa tanzania umevurugwa wewe
 
too emotional....unaona vipi tukitumia facts zaidi....niko tiari kuweka matokeo yangu hapa j.f na wewe uweke yako tucheki nani kafeli??? Je uko tiari???? Na je unaweza nipa maana ya "kipaji maalumu"??
Jibu maswali tuendelee.....

huna akili wewe jibu unalo tayari kichwani wewe ulifanya vibayaa a.k.a kilaza , utajifananisha na shule za vipajimaalumu? Wewe ni kilaza! Kama hujasomea specialschool wewe ni kilaza!! Na juta kwa kuwa kilaza! , maana ya vipaji maalumu iko wazi ni shule zinazochukua wanafunzi waliofaulu vizuri(wenye one kali na walioongoza mikoa na wilaya), , umevurugwa marinda wewe toka hapa takataka
 
Acha kuzingua kuna rafk yangu aliendag kibaha f1 akiwa na marks 213 but yye alihamishiwa bush alivyofka la7 na wakati huohuo mm mwenyew nlkuwa na 218 na ckupata hyo chance na weng wenye marks kama zangu waliishia Azania... pia nna ushahid mwaka huu kuna dogo kachaguliwa kibaha f 5 CBA na div II -18 so usiseme kuwa kila aneenda special school n SPECIAL wapo mandezi vlevle na ndo maana Div 3 na 4 hazijaisha
 
umeruvugwa wewe kama umesoma shule ambazo sio za vipaji wewe ni kilaza, na shule za vipaji ni tbrboys, kibaha,mzumbe,ilboru kama hutaki jilaumu kwa kufeli toka hapaa tuliosoma shule za vipaji tujadili
sidhani kama hili jukwaa liliwekwa tuanze jadili maswala yasiyo na msingi kama hili!!!
 
Yaani kufaulu vizuri tu ndiyo kipaji maalumu?

Ndo maana bado mivumbi iko kila mahali!
 
Acha kuzingua kuna rafk yangu aliendag kibaha f1 akiwa na marks 213 but yye alihamishiwa bush alivyofka la7 na wakati huohuo mm mwenyew nlkuwa na 218 na ckupata hyo chance na weng wenye marks kama zangu waliishia Azania... pia nna ushahid mwaka huu kuna dogo kachaguliwa kibaha f 5 CBA na div II -18 so usiseme kuwa kila aneenda special school n SPECIAL wapo mandezi vlevle na ndo maana Div 3 na 4 hazijaisha
UNAMTINDIO WA UBONGO WEWE
HAMNA KITU KAMA HICHO , JILAUMU KWA KUSOMEA MISHULE YA KATA!! , KAMA HUJASOMEA SPECIALSCHool wewe ni ndezi, kama wewe uliyepost hii comment bwabwa mkubwa wewe ,niondokee takataka
 
CKULAZIMISHI KUAMINI KUWA KISIMIRI NOW N BEST SCHOOL NA MWAKA JANA ILIIPITA ILBORU NA MWAKA HUU TENA IMEZIPTA VPAJI vyote isipokuwa MZUMBE ndo ilikuwa ya PILI

Ordinary level or Advance Level?
 
Mlosoma tabora boys kwanini msitake the lead ya kuichangia shule yenu kabla ya kulaumu? mmeisaidiaje shule?? tuepukane na ulimbukeni/kiburi kisa tumesoma vipaji! zilikuwa ni njia tu kutufikisha tulipo!! note,nimesoma st.kayumba yet maisha yanaenda!!
Aaanze Prof Lipumba na Mzee Six kwanza hawa wanataka kura na wanatokea hapo hapo. Wengine tutafuatia mdogo mdogo, shule hizi siku ni siasa. Ikifanya vizuri shule fulani ujue kuna mkono pale tena mrefu.
 
Ipo Arusha.

Ok!Kwa hiyo nani kaipa hadhi ya kuwa shule ya kipaji maalum je kuna kauli/maandishi ya MULUGO juu ya hili au matokeo yake kuwa mazuri basi mmeibatiza hadhi ya kuwa ya vipaji maalum? Maana hata KANTALAMBA ya Sumbawanga ilishawahi kuingia top 10 mara mbili mfululizo lakini siyo vipaji maalum.
 
naomba nieleweke hapa si kwamba kisimiri imekuwa shule maalum kwa matokeo yake ya miaka miwili bt ni shule ya vipaji maalum kwa almost 6 years now.....na kama wewe ni mdau mzuri wa elimu na huwa unafuatilia selections zavijana wanaochaguliwa pale basi utajua kuwa kisimiri ni shule ya vipaji maalum kwa mfano vijana wanaoingia top 10 ya mitihani ya taifa ya form 4 wengi wao huwa wanapelekwa shule ile binafsi mtoto wa rafiki yangu aliingia top 10 mwaka 2011 na akachaguliwa pale PCM na anadai hakuwa peke yake pale aliye kuwa yupo katika top 10 bali alikuwa na vijana wengine kama wawili ambao pia walikuwemo katika hiyo top 10.....so KISIMIRI NI SPECIAL SCHOOL NA INATAMBULIKA NA SERIKALI HIVYO na nadhani ndio shule pekee maalum ambayo no Co ed
 
Back
Top Bottom