Tablets for data collection

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
958
1,377
Habari ndugu
Nilikuwa nahitaji tablets for data collection za kukodisha kwa siku.
Idadi ziwe 12
Nahitaji kwa siku 6
Kuanzia 4 November mpaka 10 November
Kama Unazo au unajua zinapo kodishwa naomba nijulishe
Kwa namba hii +255717246284
+255767246284
Mail. edwardchapa02@gmail.com
trustresearchltd@gmail.com
Habari ndugu..
Niliamua kununua tablets zangu,

Kwa sasa
Tunakodisha tablets for data collection au kwa kazi yeyoye inayohusiana na matumizi ya Tablets.

Zina Kamera zenye ubora na za kisasa zenye uwezo mkubwa.

Tunazo nyingi na za kutosha. Kwa mawasiliano tumia namba hizi:

+255717246284
+255767246284

Mail:
edwardchapa02@gmail.com
trustresearchltd@gmail.com
 
Habari ndugu
Nilikuwa nahitaji tablets for data collection za kukodisha kwa siku.
Idadi ziwe 12
Nahitaji kwa siku 6
Kuanzia 4 November mpaka 10 November
Kama Unazo au unajua zinapo kodishwa naomba nijulishe
Kwa namba hii +255717246284
+255767246284
Mail. edwardchapa02@gmail.com
trustresearchltd@gmail.com

Mkuu samahani lakini unahitaji TAB Zenye Camera Nzuri Pia I mean Utakuwa Unapiga Na Picha Kwenye Zoezi Lako La Data Collection?

Kama Sio Basi Zama Vodashop

Chukua VFD 1100 Ni 150k Mpya Ila Kwa Wewe Ukichukua Zote Am Sure Watakupunguzia.
Ukimaliza kazi yako njoo hapa Uza 120K Kila Moja Am Sure Utakuwa Umefanya Jambo la busara

langu hilo Boss.
 
Idea mzur sanaa
 
Nimekuelewa mkuu

Back
Top Bottom