Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,929
- 165,288
Haiba ya wana JFKila jamii ina tabia zake.
Ukienda kwa maaskari wanakuwa na tabia yao ya ujumla ambayo huitwa haiba.
Ukienda kwa waalimu hali kadhalika wana haiba au tabia yao.
Ukienda kwa wanafunzi ni hivyo hivyo.
Hapa kwetu. J. F. Kuna watu kutoka makundi mbalimbali,
je tukikaa kwa pamoja tutaibua tabia gani?
:angry::frown::target::yuck::drum:😛ainkiller::hug::rofl::brick::confused3::gossip::whip:
Mkuu Bujibuji hapa ni ngumu kusema tutaibua tabia gani maana ni mchanganyiko wa kila aina. Kwangu ni ngumu maana kuna wapiga ngoma, kuna wanunaji, kuna wenye vichefuchefu, kuna wenye majungu, kuna wenye kifafa, kuna wenye wivu, roho mbaya, makondakta, madaktari, wahasibu, wakesha baa, wakesha kanisani na misikitini etc etc
Jukwaa la SIASA-Opportunist (some)
Jukwaa la Mapenzi-wanafamilia
Jukwaa la DINI-WATATA WALE(Iko siku watatoana macho)
Jukwaa la science na technolojia-wazee wa 10%
Jukwaa la itelijensia-no comment kwa hawa watu
etc
Jukwaa la SIASA-Opportunist (some)
Jukwaa la Mapenzi-wanafamilia
Jukwaa la DINI-WATATA WALE(Iko siku watatoana macho)
Jukwaa la science na technolojia-wazee wa 10%
Jukwaa la itelijensia-no comment kwa hawa watu
etc
Tabia ya kwanza wanapenda kusoma... maana hata hiki nilichoandika uunakisoma..sasa wanaelewa wanachosoma au la hapo ni mgogoro mwingine,usiniulize(japo wenyewe mara nyingine huwa wanaulizana ...umemwelewa mtoa mada, alichoandika,...)
Mbona narudia kulitamka mara kadhaa , kwani wewe hunisikii? Haya nalitamka tena [COLOR]Mnyamahodzo![/COLOR]mwee...mimi ningependa kujua jina lako linatamkwaje
Mbona narudia kulitamka mara kadhaa , kwani wewe hunisikii? Haya nalitamka tena [COLOR]Mnyamahodzo![/COLOR]
Hapa kila mtu na tabia yake ,,ikifanywa kama maisha plus kijijini..kuna watu wana jazba
Kuna watu wapole ,wanyenyekevu na wenye hekima ,( Tabia mcanganyiko)
J...... wengi wao wanafahamiana kwa sura na hata familia zao zinafahamiana. Ni wacheshi hawana jazba japo kuna baadhi ya watu huwa wanajaribu kuwachafulia hali ya hewa kwenye jukwaa lao lakini wao huwa wapole na waelewa.