Tabiri top four ya EPL msimu mpya wa mashindano 2025/26.

Tabiri top four ya EPL msimu mpya wa mashindano 2025/26.

Kupitia hizi comment mlizo comment mlio tangulia nimegundua Arsenal ni timu underated sana. Ila imewashangaza. 🤣👆 Na PSG asipo kaa rada analiwa kichwa. Arsenal ni wabadi sana.
 
Arsenal
Man city
Man united
Liverpool


Niliiweka hivi bahati mbaya wakati nataka ku reply kipindi kile simu ikazima charge ,
 
Back
Top Bottom