Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,592
- 23,209
Kidogo umejitahid inaweza kuwa hiviHoloholo mtumishi upo?!
1. Man City
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Chelsea
Kidogo umejitahid inaweza kuwa hiviHoloholo mtumishi upo?!
1. Man City
2. Liverpool
3. Arsenal
4. Chelsea
labda kama wachezaji wa chelsea wale muhimu watapata injuries lakini CHELSEA ikibaki kama ilivyo sasa basi hata isipochukua EPL basi utofauti wa pointi na atakayechukua ubingwa ni 1pointi.Epl nitofauti na kombe la dunia mkuu
Hakika ila ze blauzi hatoboi msimu huu.nipo mkuu niende wapi nikateseke? Jf ni nyumbani na mkataa kwao ni mtumwa.
top four yangu haibadiliki japo wapo tatakao panda na kushuka humo.Hakika ila ze blauzi hatoboi msimu huu.