Tabiri matukio magumu kutokea world cup 2014

Yaah kizax hiki cha england kinaonesha uhai na ushindan kidogo
 
Italy wako fiti kwa makaunta ataki. Sasa naona wana nafasi ya kuwabanjua inglandi ni kubwa

Pia wakamiliki mpira vizuri,hata muvu zao noma.

I think ze nxt goal litakua la kaunta ataki na litafungwa na hawa Mafia wa blue
 
Africa kutoa bingwa,mwaka huu tutavunja recod nyingi
 
Uholanzi,Ujerumani,Italia na Brazil wataingia Nusu Fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…