Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

Hii ya kutokuaga si ya kwako tu, hata mimi ninayo sana hii tabia, tena mimi hata text situmi ni nasepa tu mazima naendelea na mapambano ya kimaisha
Kwa kweli kuaga ni kipaji,
Nasemwa sana nibadilike ndio nikijitahidi natuma text.

Uko poa lakini?
 
Ahhahaha wengine watafatwa hata kama umelala utaamshwa yaan majiran wanafatwa mtoto wangu amekuja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Hiyo ya mwisho ndiyo hofu yako...




Cc: mahondaw
 
Mpenzi wangu anatabia mbaya zifuatazo
1. hamuheshimu kabisa mama yangu mzazi aliwahi kumkatalia mara kadhaa kutumwa....
2. nikiwa sina pesa huwa ananinunia
3. hajui kutumia lugha ya kushawishi kuniomba jambo.

tabia zote hizo nimeaamua kuzivumilia kwasababu tu nimezaa nae na sipendi mtoto wangu aje kunilaumu kwa kukosa malezi ya baba na mama...ila kiukweli kabisa ndugu msomaji nilisha jiwekea kuwa mtu akinizaraulia mama yangu hanifai...
tatizo ni mtoto tu ila dalili zote zinaonesha hapa sijapata ila nimepatikana...TIME WILL ANSWER
 
Mdogo wako HUMKOPESHI unampa tu ndiyo raha ya kuwa mkubwa. Si ungeukataa ukubwa ili uwe kitinda mimba? πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š
Mdogo wangu kunikopa hela halafu harudishi. Na cha ajabu akiniomba tena huku bado namdai basi ataniahidi ahadi zake hewa zenye ushawishi ambapo huwa nashindwa kabisa kumyima aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…