Tabia zake utata mtupu

Niendelee naye?

  • Ndiyo

    Votes: 2 28.6%
  • Hapana

    Votes: 5 71.4%

  • Total voters
    7
Kimbia haraka wala usitake kujua habari zake angekupenda asingekudanganua. Unachungulia choo cha kiume asee
 
Tatizo lako ni kama langu, nina girl friend nampenda namheshimu lakini yeye heshima kwangu hana na ana lugha chafu sana.

Mpaka mda huu nahisi atakuwa na mtu mwingine.

Hivyo basi kwa maelezo yako hapo inaonekana hupendwi. Na kwakuwa wote tuna matizo naomba uni pm.

Inawezekana ukapata mume mwema na mwenye malengo na niko serius kama utakuwa unataka muafaka wa kupata mwanaume bora
 

Wanawake mna mambo mengi sana, hivi mtu umeshamvulia pichu yako hapo unategemea nini si atakufanya atakavo
 
Mapenzi yanatufanya tuwe mbumbumbu....Kila kitu kipo wazi kuwa ANAKUDANGANYA.....

Hamdanganyi ila yeye ndo anajidanganya!kama anaweza kuropoka darasani kuwa ana mke mjamzito unataka aseme nn tena?au anasubiria hadi amtamkie yeye mwenyewe?thubutu!kitumbua cha bure hicho lazima kiendelee kuliwa na jamaa!
 




Fursa hiyo@Baby M sema hili jina la huyu jamaa sijui yaliyomo yamo???
 
Hata me nashindwa kumuelewa naona anajikanyaga tu
 
Yani ndani ya miezi mitano tena mtu hata haonyeshi kukujali umeshampa na mgegedo mmh watoto wa sikuhizi, alafu mara unasema mpo wote chuo,mara mlikutana kwenye social network, panga vizuri stori yako ueleweke, hata hivyo kwa haraka haraka tu huyo wala hakufai na ukiendelea nae tegemea maumivu zaidi
 
how old are u?
 

hilo jina lako tu linaonyesha hii habari hako ni vise verse
 
Mbona unadanganywa mchana kweupe?
Kama vipi achana nae, kama ni kupoteza time wakati unamsubiri wa kwako aje basi endelea nae
 
I once said this and i will say this again Baby M "The only man you need in your life is the one that proves that he needs you in his", kama tabia ambazo anapotray zina utata and zinaonyesha dat he doesnt need in your in his life,move on and stop being desperate for his love.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wote mnasema huyu kaka ni muongo lakini huyu dada aliyeanzisha thread je? Mimi nachukia sana wanawake wanaodanganya kuhusu kupata mimba, ni uongo mbaya sana. Ni unafiki kumsema mwenzako kwa kuwa muongo wakati wewe mwenyewe ni muongo. Wanawake acheni hiyo tabia chafu ya kupima wanaume kwa kuwadanganya kuhusu mimba.
 
thank you for the wiser advice..:smile-big:
 
yes, sometimes you can impose such a question, kama haupo tayari kukondomise uwe tayari kwa matokeo yake ambayo mfano ni kama mimba.... upo? hampo tayari kwa mimba do wat it takes not to empregnant..:baby:
 
Wote bado ni watoto,ila kwa character za huyo jamaa hajafika bado kwako,still anatafuta
 

She's playing with fire....
Yet ni mchumba for 5 months
I doubt that neyhii
 
Nlidhani sikuhizi wakinadada ni wajanja...kumbe bado kabisa
 

Lolest....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…