Tabia zake utata mtupu

Niendelee naye?

  • Ndiyo

    Votes: 2 28.6%
  • Hapana

    Votes: 5 71.4%

  • Total voters
    7
ongeza machaguo usizuie mawazo tofauti na hayo mawili
 
Bahati mbaya Mwanaume kapewa damu ya kumtosha tu kuendesha kiungo kimoja kwa wakati mmoja kati ya ubongo na Gegedeo. Damu ikiwa inaenda kwenye Ubongo naona imekua ngumu sana kutukamata.... Mnashindwa kutuelewa hata wakati damu imehamia kwenye hicho kiungo kingine?????

Yaani anakuchezea akili kiasi hiko bado tu bado huelewi????????? Am sincerely sorry!!!

 
well, the same institute, yeye alitangulia mwaka mmoja mbele eg, 2009, mm nikajoin 2010. yes ni ndani ya 5, now 2 month imekata since tume na tofauti,
the point ya mimi kuingia darasani, ni kwamba tupo institute moja and was on for a group discussion ambapo na yeye na wenzake wamekaa upande mwingine wa darasa..so before mimi sijafika kulikua na classmets ambao mimi ndy nilikua nina discuss nao, wakaanza kuhadithia..
 
kama unasubiria kipenga kipulizwe endelea kusubiri aisee
 
Mwanaume hakufai kabisa, tena inaelekea ana mke na vimada kibao!!! Sasa ukiona mtu for up to 5 days or 4 hakutafuti hata kukujulia hali si ukue tu kuwa yuko busy na mtu mwingine??? Acha kujidanganya dada yangu.
 
Baby m my dear kusoma huwezi hata picha uoni
 

yani nikama anahadithia ndoto aliyoota...
Anadai jamaa yake anapiga masters,,na yuko mbele yake darasa moja,,
sijui..nimuite Heaven on Earth .!?
 
Last edited by a moderator:
Mbona.mambo yapo wazi tu kwamba wewe ni kipozeo tu mkuu Baby M. ( najua lugha kali lakini nimesema ili ikuingie)
 
Last edited by a moderator:
Hee! Si nimeona kitu ya "vote now" wajameni tunampgia kura nani?
 
Mi kazi yangu itakuwa kuhesabu kura zimefika % ngapi.
Mapenzi ya kuamliwa kwa kula ya ndio na hapana dah.. kweli udigital umetuteka.
Soon itakuwepo mahakama ya mapenzi naomba Mungu anipe maisha marefu.
 
No need to vote % ya comments inatosha + mawazo yangu binafsi
 
No need to vote anymore % ya comments inatosha + mawazo yangu binafsi
 
huyo msanii tu,km vp mshauri ajiunge bongo movie! we chapa lapa mama kungali kweupeeee, ucje juta when its too late!
 
maybe i can say more, alinidanganya yeye si mwenyeji wa Moshi, ila baadae niligundua ni mwenyeji sana, pili, wakati akiwa anaropoka hayo maneno ya kusema mke wake anakaribia kujifungua na huku nyumba ndogo inamsumbua alikua darasani ambapo watu ninao soma nao mimi walimsikia akisema, na wao classmets wakaanza kandia hiyo tabia kwamba sio kitu cha kujisemesha mbele za watu..ambapo ilikua ni watu wapo darasa moja la grup discussion,yeye akiwa na group yake upande mwingine wa darasa..
 

Ungetumia tu kiswahili ungeeleweka vizuri sana yanini kujipa shida na milugha ya watu hii.
Hili ni lugha za kujibia mitihani na kufanyia usahili.
Jaribu tu kutumia lugha iliyo rahisi isiyo kupa shida au basi kama unatumia kiingereza basi uaandike kiingereza tu ili ueleweke..
Ebu ona sasa ulichokifanya hapo.

Niushauri tu ukikufaa ufanyie kazi.
 
na wewe pole kama hujaweza elewa code mixing na switching, yes ni lugha ya watu so nitaichakachua vile i please.. sikuomba ushauri wa language, kama hukuelewa, ahsante pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…