nilianza mahusiano na kijana mmoja ambaye hadi sasa tuna muda wa miez 5
anafanya kazi na ni mwanafunzi wa masomo ya masters
Then recently alikuwa darasani kwake anaposoma akawa anaongea na wenzake ana mawazo sana kwamba mke wake anatarajia jifungua na nyumba ndogo inamsumbua kama vile hawaelewani.
Yeye yupo darasa moja mbele yangu, my colleagues they overheard akiwa anasema hivyo, mimi nikaingia darasani na wenzangu wakaanza kumrejea aliyokua akisema sababu kuna mmoja aliona ni kitendo cha ajabu mtu kuongea hivyo vitu mbele za watu kama kuwa na mpango wa kando ni jambo la kawaida sana, wale wenzangu wakamchambua sababu walianza nihadithia mimi, (but walikua hawajui kama namfaham vizuri), mimi nkapata shauku ya kujua ukweli ya hayo, well baadae nikamuuliza akakubali alisema hayo na kusema alikua akitania tu na si kweli kwamba ana mke.