Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

Hahah
 
Anabadilisha tabia na misimamo kulingana na mwanaume aliyenaye
Akiwa na mpenda mpira, yeye ni shabiki wa Simba au Yanga. Akiwa na mchungaji, yeye ni "saved and sanctified!" Akiwa na Rasta, anaanza kupost Bob Marley!
 
Kiufupi huwezi kumdifine mwanamke anaishi kulingana na mazingira ,, tumia akil kuishi nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…