Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,888
- 82,553
Wanalewa chibuku na asubuhi ni supu ya mapupu
Tatizo lipo huwezi kua kimbele mbele kama wewe sio mmoja waoMkuu sina husna, nimewahi kuwaita tu, kwani kuna tatizo?
Wana tabia ya kupenda wadada wenye karibu kulingana na mama zao...tehteehhHuwa tumezoea kusikia tabia vya wadada waliolelewa uswazi kuwa ni mapepe, waongeaji sana, wagomvi, na mengine mengi
Hebu turudi kwa hawa kaka zetu waliokulia uswazi hasa dar, tupeane tabia zao
Afu wanaowazungumzia hata sio wa mikoani ni haohaoHivi inaweza pita siku bila wanaume wa mikoani kiwazungumzia wanaume wa Dar? Kiuhalisia mnawahusudu sana wanaume wa Dar sema tu ndo vile hamna namna...
Na sisi tuko hivyo hivyo mapepe,waongeaji,wagomvi na mengine mengi.Huwa tumezoea kusikia tabia vya wadada waliolelewa uswazi kuwa ni mapepe, waongeaji sana, wagomvi, na mengine mengi
Hebu turudi kwa hawa kaka zetu waliokulia uswazi hasa dar, tupeane tabia zao