Ni kweli nimeona kwa wengi
Ngoja wajeKivipi
[emoji121]Huwa tumezoea kusikia tabia vya wadada waliolelewa uswazi kuwa ni mapepe, waongeaji sana, wagomvi, na mengine mengi
Hebu turudi kwa hawa kaka zetu waliokulia uswazi hasa dar, tupeane tabia zao
Hivi inaweza pita siku bila wanaume wa mikoani kiwazungumzia wanaume wa Dar? Kiuhalisia mnawahusudu sana wanaume wa Dar sema tu ndo vile hamna namna...Wanaume wa dar njooni kwenye uzi wenu mnaitwa huku.
Mkuu elezea tabia zenu hapo, sisi wa mikoani tabia zetu zinajulikana.Hivi inaweza pita siku bila wanaume wa mikoani kiwazungumzia wanaume wa Dar? Kiuhalisia mnawahusudu sana wanaume wa Dar sema tu ndo vile hamna namna...
Mkuu tabia zenu ni kwamba hamuwezi pitisha siku bila kutuzungumzia pia mbona umekua kimbele mbele kuliko wanaume wa Dar? Nini tatizo husda au?Mkuu elezea tabia zenu hapo, sisi wa mikoani tabia zetu zinajulikana.
Mkuu sina husda, nimewahi kuwaita tu, kwani kuna tatizo?Mkuu tabia zenu ni kwamba hamuwezi pitisha siku bila kutuzungumzia pia mbona umekua kimbele mbele kuliko wanaume wa Dar? Nini tatizo husda au?