X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,778
- 14,987
hao ni wazigua kutoka handeni mkoani Tanga.Mkuu ukoo wa "gumbo" ni kabila gani hao ??!!
hao ni wazigua kutoka handeni mkoani Tanga.Mkuu ukoo wa "gumbo" ni kabila gani hao ??!!
hahaaaaa!!kwenye mikono ya sweta mi naona wakurya kama hapo wameshika tena usukaniii!!
Nimewaona mtani, ila nyie nimewapenda sana. Economic discipline yenu wanaita ubahili.Umewaona wanaume wa kwenu lakini mtani? Teh teh
STUNTER akikikuskia analianzishaLeo wadada tumerest in peace!!
afadhali
Hivi nani anapenda kufanya mapenzi kati ya hawa;
1. Anayefanya mapenzi na mtu mmoja kila saa kila siku. Au
2. Anayefanya mapenzi na watu tofauti kila siku?
Naona Wangoni wanaonewa hapa.
Nadhani ni coincidence tu hiyo.
Kuna baadhi ya tabia unaweza kuzikuta kwa makabila yote kwa asilimia kubwa.
Ukashindwa kujua nani anamiliki hizo tabia.
Atakuwa Mdogo New Version mamyKwenye wadigo hapo nakataa, au wakwangu nimebadirishiwa hahahaaa
Asili ya mdigo na Mbondei inafanana haswa tabia, mimi naishi nao wengi sana Tanga hapa wanakamsemo kao wanawake kwenda kwa wanaume (Waume zao) "wanakwambia ukitoka,na mie natoka"Atakuwa Mdogo New Version mamy
kweli wengi wanafanyiwa tohara ukubwani!Mkuu geniveros hili la mikono ya sweta umeona wapi?? Una ushahidi wa kivitendo au kinadharia tu?.
Hahahahah kna kabira moja hko Mara wanaitwa wajita Ni nomaJe wanaojua kukaza?
Naona kagoma kuwapa promo...Hahahahah kna kabira moja hko Mara wanaitwa wajita Ni noma
Maybe Ni wanaume wa Dar huyoNaona kagoma kuwapa promo...