mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,025
Mimi naandikia kulia dear ladyfurahia
Last edited by a moderator:
I was pretty good but did not choose that career path
Ndiyo unaambukizwa kama mtu anavyoambukizwa umbeya!!
Duh mbona mna tusema jamani
Mhhhh sa unaambukizwaje
Which path did you choose then????
kwenye biblia left hand walikuwa na shabaha sana lakini hata leo na pia mguu shoto wengi wao wanakuwa na bahat ya kufunga bao nyingi wakiwa washambuliaji
Nasikia hata jk ni malefti
Mimi naandikia mikono yote!
Wanakuwa milupo