Sijawahi hata kuwa intoxicated.
Wakipelekwa shuke Wana uwezo mzuri kwenye somo la hisabati.
Niliona umejibia kwa chini ndo maana nimekuuliza hivyo (ulikuwa utani pia).
Haha ndio, huoni navaa saa mkono wa kulia!
Wakienda msalani huwa wanashusha rumbesa
sijawahi kufatilia ujue
Utaona
Obama ni mmoja wao
Huwa waandikia kushoto kumbe..??
Me too...
Ohhhh Kumbe......
Am left footed as well in the football pitch like Messi.