Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,761
- 1,633
Hao ni walemavu wametengwa na dunia kwenye vitu vingi sana, kuendesha vyombo vya moto, gitaa nk
Haiti wakushoto ni laana
Sijui kama kuna magari ya left handers lakini kuhusu magitaa yapo japo si mengi kwa kuwa wapigaji mashoto ni wachache sana. Mfano mwanamuziki mahiri wa zamani Jimmy Henndrix alikuwa mashoto.