Tabia za wanaoandikia kushoto

Tabia za wanaoandikia kushoto

Teh teh teh. Maandishi yako hayafanani na huyo jamaa kwenye avator,au ndo "don't judge the book by its cover"?
Mkuu MWENDAKULIMA, Sijakupata vizuri, kipi kibaya au kizuri, maandishi au avatar? Let me know meen!
 
Mkuu MWENDAKULIMA, Sijakupata vizuri, kipi kibaya au kizuri, maandishi au avatar? Let me know meen!


Avator inaonesha jamaa ni kilaza wa ukweli lakini maandishi ni tofauti,sitegemei huyo jamaa kwenye avator aweze kuandika kitu chochote cha maana.
 
jamani mbona swali zuri tu?tukiwa wastarabu twaweza elimika wengi..tupunguze jokes sometimes...mtoa maada yupo sawa
 
HAta lOWasa nimEsiKia KwanZia mweZi ujao anaanza MazoeZi yA kuaNdiKia kushoTo.ilI aOnGezE ViGezO Vya KuPaTa UraIsi.

Na wewe pia unaandikia left hand? Maana mwandiko wako have leeks! !!😂😂😂
 
Mmi naandikia kushoto nina mwandiko mbovu kitaifa ila kichwan niko poa kinyama accordin to obsevers pia hesabu ndio kitu ambacho sijawah kukielewa apa duniani natia kikapu mbaya kwa kono la kushoto pia ukibahatika kukutana na jodan nzuki(ngumi ya uso) yangu ya kushoto lazima ukae na utubu my right hand ipo active kwenye kula tu hata nikipata mushkel mkono wangu wa kulia bas kula kwa left inakuaga mtihani sana
 
Wadau nilikuwa naomba kujuzwa tabia (unique) za hawa watu wanaoandikia kushoto, na ni kuna ukweli kuwa tabia zao mara nyingi hufanana?
huwa pia wanashabaha sana ya kulenga kitu. Mimi mama yangu, mtt wangu na mjukuu wangu wote ni hivyo. Nahisi huwa ina genetics pia. Kwani na kk yangu pia
 
Back
Top Bottom