Tabia za wanaoandikia kushoto

Tabia za wanaoandikia kushoto

Shikamoo Bulaza Rogie !! Kwa. hiyooo wewe wala kwa kutumia mkono gani? Samahani kidogo, na maliwatoni jeee ?? Mkono upi huwa unahusika? Wabhejah Ngosha !!

Hata mie nina hamu yakujua kuhusu hayo

Cc Rogie
 
Last edited by a moderator:
Hata mie nina hamu yakujua kuhusu hayo

Cc Rogie

Mkono wa kushoto ndo unahusika kwa sababu brain imeshakuwa conditioned kuwa ndo mkono wenye kufanya kazi zote.

Ingawaje ktk kula bado natumia wa kulia sababu nilipigwa sana utotoni na Mzee.
 
Last edited by a moderator:
Mkono wa kushoto ndo unahusika kwa sababu brain imeshakuwa conditioned kuwa ndo mkono wenye kufanya kazi zote.

Ingawaje ktk kula bado natumia wa kulia sababu nilipigwa sana utotoni na Mzee.

Kwa hiyi kila kitu watumia kushoto?Wewe ni kilaza au una akili sana??😛
 
Hao ni walemavu wametengwa na dunia kwenye vitu vingi sana, kuendesha vyombo vya moto, gitaa nk
Haiti wakushoto ni laana
 
Hawa jamaa wanaoandikia kushoto wengi wao ni BRIGHT sana yaani akifanya kitu kama ni SHULE/BIASHARA/MPIRA ni balaa.
 
Nitoe mfano wa mwanangu
.mtundu kupitiliza.
Kila siku kesi za kuwabonda wenzie haziishi.
Ukishika kiboko lazima ajikojolee kwa uoga, ukimaliza kumtia viboko hapati shida kurudia kosa lile lile.
Anaongea kuliko kasuku.
Ni mbabe hadi ananunua kesi za wenzie.
Ana mwandiko kama dakitari.
Darasani namba moja kama mwalimu akimbana..ukimuachia yeye ni michezo.
Hajijali...anaweza enda dukani uchi, kuoga mbinde na kufua.
Alishawahi kukataliwa shule akiwa darasa la kwanza kwa utundu.
Ukimuacha sehemu yoyote ngeni ndani ya dakika kumi atakuwa ndie kiongozi wa wenyeji.
Kazi yoyote ya mikono labda utumie rungu ndio atafanya! Ni mvivu ile mbaya!
Good thing anapenda sana kufundisha wenzie na ana uwezo wa kushawishi
 
Kwa hiyi kila kitu watumia kushoto?Wewe ni kilaza au una akili sana??😛

Almost vitu vingi with the exception of using a pair of scissors, i use my right hand suprisingly.

Kuhusu ukilaza au la. Let me put this way. Hii inatokea kwenye family mfano nina mtoto wa sister wangu msichana ni left handed pia. Ni kipanga sana darasani.
 
Hawa jamaa wanaoandikia kushoto wengi wao ni BRIGHT sana yaani akifanya kitu kama ni SHULE/BIASHARA/MPIRA ni balaa.

Yap unaweza ukawa uko sawa kwa sababu footbal legends kama Pele wa Brazil, Romario,Messi na Hugho Sanchez wa Arsenal ni mashoto.
 
Back
Top Bottom