Tabia za wanaoandikia kushoto

Tabia za wanaoandikia kushoto

I ever have a girlfriend of this sort of people. She was soo kin in most of things
 
nilikuwa natumia mguu wa kulia kipindi nini miaka 12-14 kocha wa timu ya mtaani enzi hizo alinipa kibarua cha kujifunza kutumia miguu yote ili niwe beki mzuri,baada ya muda nilifanikiwa kumudu kuutumia mguu huo.
 
Huwa wana bahati sana ya mafanikio maishani
 
Mazeee hivi hakuna Mganga wa kienyeji anaweza nifanyia miujiza nianze kutumia kono la kushoto?
 
Barack Obama is the latest to join a long list of left-handed presidents from the 20th century: James Garfield, Herbert Hoover, Henry Truman, Gerald Ford, Ronald Reagan, George H.W. Bush and Bill Clinton were all southpaws.
 
Honestly speaking, according to the way i have come across with these people "left handed" the majority of them are so bright, have good hand writtings, the worst thing of them in class when writing notice they don't finish in time! That's how i know about them......
 
Bado tu hamjaacha kutuongelea jamani!

Shikamoo Bulaza Rogie !! Kwa. hiyooo wewe wala kwa kutumia mkono gani? Samahani kidogo, na maliwatoni jeee ?? Mkono upi huwa unahusika? Wabhejah Ngosha !!
 
Wakipelekwa shuke Wana uwezo mzuri kwenye somo la hisabati.

hahaha mkuu umenichekesha sana.nilikuwa nao kama saba hivi darasani kwangu miaka hiyo ya sekondari.mmoja alikuwa wa kike.sikuona hata hizo hesabu walizokuwa wanaziweza sana sana hakuna kati yao aliyekuwa na mwandiko wa kuvutia.
 
Haijathitishwa kisayansi lakini kwa wengi niliowaona na kuwafahamu huwa na uwezo mkubwa sana kiakili na watu wenye juhudi kubwa sana katika kusoma
 
Back
Top Bottom