TABIA ZA SIMU za KICHINA

TABIA ZA SIMU za KICHINA

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761

1.Ndege ikipita ,simu inaandika 1 missed call

2.Ukiwa karibu na lorry likawashwa kitu kinaandika "Charger Connected"

3. Battery inajaa baada ya dk 3 ....

4. Simu ina Tv,microwave,torch,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara

5. Unaweza andika Msg kwa "tooth pick"

6.kuna matatizo ya kimaandishi mfano Nokla,Blackderry,Samvang

7.Ukiingiza vocha zaidi ya 5,000 inakuuliza "are you serious??"

8.kukiwa hamna umeme inaandika "insert sim card"

9.ukipost status 1 facebook ina post 10 nyingine bila wewe kujua

10. Ukipita karibu na mchina uku bluetooth ikiwa on ,simu inaonesha new hardware found, please enter pairing code


kwa hisani ya Bujibuji
 
Yani wewe asigwa nimecheka hadi machozi yananitoka. Duh!! We mkali.
 
Last edited by a moderator:
asigwa au madenge kweli wewe nomaaaa hii nita share
 
Last edited by a moderator:
Kuna moja niliikuta ina mashine ya kunyolea...,
Ukiandika president inamalizia Hu Jintao
 
Ya kwangu ina double bluetooth,usicheke!!najitumia content mwenyewe,pili,lens ya camera ndiyo tochi pia,kuna saa nikiizima inaandika system failed na inagoma kuzima,betri unaitoa kwenye chaji baada ya masaa yasiyopungua 12 then inaandika charge low,inaweza ikajizima na kujiwasha yenyewe ikiwa full charge,yani ina mambo kibao yasiyoeleweka,sio uongo inanichosha kabisa.
 
Wiki nzima sijapata kitu cha kuchekesha kama kwenye thread yako asigwa! Umezitendea haki mbavu zangu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom