Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,493
- 17,533
Najitahidi huenda totoz Noelia akanielewa
Najitahidi huenda totoz Noelia akanielewa


Write your reply...huyo ni Mimi kabisa
11.halafu tuna hasira
Nitakujibu nikitoka karantini
Mimi ni mwembamba toka nizaliwe sijawahi nenepa hadi ndugu huniambia sitokuja kunenepa, hizo sifa zote ninazo, kweli we mkuu ni mtafiti balaa.



Ebana eeeehh.. yan hapo 7na 8 pekee ndio hazinihusu.. ila hayo mengne ni muleee muleee..
Ongeza na hii..' kwenye sex hatuchoki '
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi corona imekupanda kichwani?? Manake sikuelewi