Aisee si ulikuwa jukwaa kubwa kule sijapita siku mbili tatu hivi mkuu...!
Ulirejeshwa lakini wameupiga pini
Aisee si ulikuwa jukwaa kubwa kule sijapita siku mbili tatu hivi mkuu...!
,Mie napitia comments tu ila kwa hzi comments nimegundua kuna members wachangiaji wazoefu wanaochangiaga kila Uzi humu sijawaona!!
Au ni vibonge nyanya??
Sent using Jamii Forums mobile app

ngoja wajeKwani sio mwenyew huyoMnakosea sana kuweka picha za watu humu, kama vipi post ya kwako.

Duuuh weee jamaa unanisema Mimi nini??
Nasikia wana vitako vigumu afu vina vipelepele.
Nimeambiwa tu jamani hapa.
shida ni tabia zao ila kitandani watamu kama dagaa au nyama ya mfupa
Okay kumbe engine ipo kwenye tak**
♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..
♧ Siyo watu wa show off.
♧ Low profile type.
♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.
♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo
♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..
♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..
Sent using Samsung S6 Edge