Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Aseeeeee hapo unakuta umepoteza muda wako,ulikua unatongozwa na wenye uwezo kumzidi uliwakataa kisa yeye afu anapata pesa anakudharauNi wepesi kusahau kama ulimvumilia wakati kapauka kama sharti baada kupata hela anaanza kudharu uliye mvumilia kipindi cha ukame
Heee hana mke mwanaume anadanga tu mmmm imbombo mkafuNdio maana alhaji dangote wa nigeria (sio diamond) pamoja na pesa kaachika mara mbili,,,and currently hana mke,, jiulize kwanini wanawake wa huko nigeria hawaolewi nae
Ndiyo hapo na muda umeenda wale wote wana maisha yao, lakini Mungu hawezi kukuacha hivi hivi lazima amchape tuAseeeeee hapo unakuta umepoteza muda wako,ulikua unatongozwa na wenye uwezo kumzidi uliwakataa kisa yeye afu anapata pesa anakudharau
Kweli mamaKuna vitu vyakuumiza katika maisha si pesa kwa ajili ya mapenzi no, bora nikalima shamba lakini niwe na amani na maisha yangu
Unaweza ukamroga apate wazimuAseeeeee hapo unakuta umepoteza muda wako,ulikua unatongozwa na wenye uwezo kumzidi uliwakataa kisa yeye afu anapata pesa anakudharau
Peugeot 504
Hapa unawazungunzia wahaya?Nawasalimu all MMU
Leo naomba nidondoshe hii habari kidogo, wanawake pia mwakaribishwa kuongezea baadhi ya tabia za wanaume wachache wakiwaga na hela
1) Yeye sio mkosaji: Hapa nazungumzia kupatikana na hatia. Yaani kama kakukosea lazima atengeneze maelezo mengi mpaka akuset ujione wewe ndie uliyekosea kumbe ni yeye.
2) Hajui kuomba/kutamka SAMAHANI: Hapa hata kama kakukosea kamwe samahani hajaumbiwa kinywani mwake.
3) Hujikweza: Hapa utakuta kila mwenzie au jirani yake akifanya jambo zuri utasikia yeye anaona kama hamna kitu.
4) Ujuaji: Hapa atataka kuonesha umwamba wa kila kitu kwamba anakijua. Mfano unakuta ye ni daktari basi akifika kwa mjenzi atampelekesha kiudaktari na wakati professional ya udaktari haiingiliani na ujenzi.
5) Kiburi: Hapa huwa hasikilizi ushauri haambiwi haambiliki anaweza akanya mlangoni kwako ukimuuliza utasikia inagharimu kiasi gani kwani? Badala hata atoe excuse.
6) Sifa: Hapa akitoa hela ndani atatangaza ukoo mzima hadi wale marafiki wa utotoni wajue au akisikia michango utaona atatoa kiwango kikubwa tofauti nakilichopangwa ili aonekane zimo.
7) Wanamsahau Allah /Mungu: Hapa ibada kwao ni mwiko siku ya Ijumaa ni siku ya kununulia bia wanaita weekend mood. Wale wa Jumapili utasikia ndio nafua.
8)----------
9)--------
10------
Nawakaribisha mmalizie sifa za wanaume baadhi wakipata hela za ghafla..
Kunywa peps kwa mangi nakuja kulipiaMwanaume mwenye pesa wako soo humble , most romantic one na msikivu inabidi mdada awe matured vizur (kujielewa etc) ndo atampa kila kitu......
Mkuu bado hujakutana na wenye HELA hao unaowazunguzia ni wale waliobahatikia kuokota vijisent wanakuwaga tabu tupu katika jamiii ....
Sema wenye pesa za muda usiseme wanaume "wenye pesa".Nawasalimu all MMU
Leo naomba nidondoshe hii habari kidogo, wanawake pia mwakaribishwa kuongezea baadhi ya tabia za wanaume wachache wakiwaga na hela
1) Yeye sio mkosaji: Hapa nazungumzia kupatikana na hatia. Yaani kama kakukosea lazima atengeneze maelezo mengi mpaka akuset ujione wewe ndie uliyekosea kumbe ni yeye.
2) Hajui kuomba/kutamka SAMAHANI: Hapa hata kama kakukosea kamwe samahani hajaumbiwa kinywani mwake.
3) Hujikweza: Hapa utakuta kila mwenzie au jirani yake akifanya jambo zuri utasikia yeye anaona kama hamna kitu.
4) Ujuaji: Hapa atataka kuonesha umwamba wa kila kitu kwamba anakijua. Mfano unakuta ye ni daktari basi akifika kwa mjenzi atampelekesha kiudaktari na wakati professional ya udaktari haiingiliani na ujenzi.
5) Kiburi: Hapa huwa hasikilizi ushauri haambiwi haambiliki anaweza akanya mlangoni kwako ukimuuliza utasikia inagharimu kiasi gani kwani? Badala hata atoe excuse.
6) Sifa: Hapa akitoa hela ndani atatangaza ukoo mzima hadi wale marafiki wa utotoni wajue au akisikia michango utaona atatoa kiwango kikubwa tofauti nakilichopangwa ili aonekane zimo.
7) Wanamsahau Allah /Mungu: Hapa ibada kwao ni mwiko siku ya Ijumaa ni siku ya kununulia bia wanaita weekend mood. Wale wa Jumapili utasikia ndio nafua.
8)----------
9)--------
10------
Nawakaribisha mmalizie sifa za wanaume baadhi wakipata hela za ghafla..
Hao ni wanaume wenye hela za msimuNawasalimu all MMU

good mkakaHaijapata tokea
Kabisa lazima amfundishe adabuNdiyo hapo na muda umeenda wale wote wana maisha yao, lakini Mungu hawezi kukuacha hivi hivi lazima amchape tu
Na ukimroga hata Mungu anakubarikiUnaweza ukamroga apate wazimu
Mungu anabariki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chozi la mwanamke hiloNa ukimroga hata Mungu anakubariki