Tabia za mwanamke huyu zinaniweka mtegoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia za mwanamke huyu zinaniweka mtegoni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by hengo, Sep 14, 2012.

 1. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wakuu.Mimi mwenzenu niliachana na maisha ya ukapera yapata mwaka mmoja na nusu sasa baada ya kufunga ndoa takatifu na my beloved.Pia nashukuru Mungu kuwa ninaishi vizuri na shemeji yenu/wifi yenu kadri mola anavyotujalia.

  Nina rafiki yangu mmoja ambaye ambaye yeye anaishi na mwanamke takiribani mwaka sasa bila kufunga ndoa,siyo siri jamaa yangu ni kiwembe sana kuweka ndani na kuaacha yeye ni kawaida yake.Hata hivyo ni mambo ya shule ndiyo yaliniunganisha naye na tukawa marafiki vinginevyo tusingeelewa.Jamaa huyo tangu siku nyingi huwa ananitumia kusuruhisha migogoro yake na mademu wake, na mpaka sasa familia yake na yangu zimekuwa karibu kiasi kwamba hata wake zetu ni marafiki.Hivyo mke wa jamaa yangu huyo mara kadhaa amekuwa akiniomba nimushauri bwana yake wafunge ndoa na nimekuwa nikifanya hivyo mara kwa mara, lakini jamaa bado hajachukua uamuzi hadi sasa.Aidha jamaa pia huniomba kumbembelezea kwa mke wako mara wanapo tofautiana.Jamaa ni mlevi, lakini demu hanywi ,hivyo jambo hili limekuwa chanzo cha migogoro kila kukicha.

  Kinachonishangaza siku za karibuni mke wa jamaa huyo amekuwa akinisimulia mapungufu mengi sana ya jamaa yangu ya kiwepo ya ndani mbaya zaidi, hata yale ya kitandani.Amefikia hatua anakuja kwangu kama kupiga story na wife lakini akitoka ananiandikia sms mimi kuwa aliniikumbuka hivyo alikuja kuniona,mara nyingine ananiita kwake kama vile anashida lakini nikifika anaanza kunieleza mambo yote wanayofanya usiku na jamaa; mfano kama jamaa amepiga game vizuri,au amepapsa tu ama hajapiga kabisa.Sasa kisa cha mwisho mke wangu alisafiri, shemeji yangu huyo( Hawala wa jamaa yangu) akaniita kwake nilipofika nilikuta anacheki BLUE VCD nilipongudua hilo nilikomea mlangoni nikajifanya ninaharaka,ghafla aliingia chumbani akatoka na kibaasha akanipa, nami nilitoka nacho mpaka home huku nikijua kuwa ndicho alicholuwa ameniitia.Nilipo fika nyumbani kwangu nilikifungua nikakuta kuna BLUE VCD, nikaingalia kidogo kisha nikamrudishia,akawa ananiulizia kama imenifurahisha au laa.Kusema ukweli tabia hizi sizipendi,hata hivyo naogopa kumwambia jamaa yangu waisije wakafarakana kwa ajili yangu hasa kwa vile anaonekana nampenda sana huyu demu.Je, mnanishauri nini wakubwa katika hili?


   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine huwaga ni marahisi lakini watu tu ndiyo huyafanya yawe ama yaonekane kama vile ni magumu.

  Kwenye hilo unalolizungumzia hakuna quandary hata kidogo.

  Naweza kusema ni wewe mwenyewe ndiyo unayeendekeza yote hayo.

  Huna msimamo madhubuti wala thabiti.

  Ungekuwa nao ungekuwa ushamueleza kwa namna moja ama nyingine kutofurahishwa kwako na mwenendo wake.

  Hakuna hata haja ya kumwambia jamaa yake. Mwambie tu yeye mwenyewe na usimpe mwanya wa kufanya ujinga wake.
   
 3. T 2015 CDM

  T 2015 CDM Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well explained. Naunga mkono ushauri. Big up Nyaningabu
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,510
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Tafuta na wewe blue movie, weka kwa bahasha umpelekee.
  Ati unaishi vizuri sana na wife eeh? Ufurahie wakati huu, manake siku si nyingi kamba uliyoiegesha shingoni mwako itakupa matokeo.
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  yalaaaaaa!!! mbona bahati hizi hazitudondokei sie vidume? yaani huyo yupo ready kwa game maana kashaona kuwa yeye ni wakuliwa K tuu na huyo jamaa yako na kwamba imefika wakati na yeye aonje utamu elswhere. sasa mie nakushauri hivi wewe sii hutaki mzigo sasa tafuta blue vcd yenye kuonyesha demu analiwa tigo mpe aangalie alafu mwambie mie nataka nikufanyie hivyo.
   
 6. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  muweke chini umueleweshe nini ni nini na wewe wataka nini au wataka iweje as mie kama mie cjui kaka labda nawe wataka ila wasua sua
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  ''Ugonjwa ule umekalia pabaya'' Alijisemea mzee Mwinyi.
  Zidi kutegeka na uonje kabisa ili uongeze takwimu za watumia ARV...
  We sini msuluhishi bana unaesuluhisha mke wa mtu huku mumewe hayupo eneo la tukio, endelea kwenda wakati rafiki yako hayupo... utapata unachokitaka
   
 8. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  kata mawasiliano na huyo mTu kabisa. usipokee simu yake, wala usiende kwake kama jamaa yako hayupo. Unatafuta biff na mlevi ww, umpigie kitu yake? Mtaa mzima utajua na ndio ndoa yako itakaa vizuri.
   
 9. s

  sikati tamaa Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ...ebu achana na uyo mwanamke atakuharbia ndoa yako,kwanza hana adabu atahadithiaje mambo yake kwako..,?..Mrudishie vcd yake tena kwa dharau umwambie aliitizama mkeo mana yeye ndo kila k2..
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,344
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  ongea na mkeo mwambie aache kujisifia kwa huyo bi dada kuwa ana mume mzuri(ambaye ni wewe). Kati ya udhaifu na tabia mbaya waliyonayo wanawake ni majivuno. Ninakueleza hivi kwa kuwa nina uhakika mkeo lazima atakua anakupamba wewe mbele ya huyo bi dada kuwa hata kitandani u machachari.
   
 11. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kwelii! Na huyo aliposkia ndo anataka na yy apimie
   
 12. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ikimbie Zinaa ikiwa mtego umeishauona!
   
 13. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,171
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Vunja ukimya wewe!!! au unasubiri hisani ya watu wa marekani?

  Vunja ukimya aidha kwa
  1. Kumwambia huyo shemeji yako hupendi tabia zake
  2. Mwambie jamaa tabia za hawara yake
  3. Mwambie mkeo ili amchunge au kumpiga stop
  Ukishindwa 1, 2, na 3
  fanya hii 4. Mpe anachokitaka maana najua na wewe unataka vinginevyo ungesha fanya moja kati ya hayo matatu!

  Ah bana eeh, liwalo na liwe, kula kwanini ujinyime hali nafsi inataka?
   
 14. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hongea nae tu mshikaji wako, kwani yeye anahitaji kubadilika, bila ya kumwambia huyo jamaa kuwa demu wake anayeishi nae asipotizama atamwaga tu
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kata mawasiliano nae anataka akuletee kirusi kwenye ndoa yako huyo.
   
 16. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mwambie asikuletee mazoea,akiendelea mwambie mkeo, akiendelea mshirikisheni jamaa akiwa hajalewa.
   
 17. S

  Stinker Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  take action now or never, siku mkeo akikufuma na sms za huto bi-dada hata elewa kama you were not interested in her... we mpe makavu live...ataacha tu akiona huna mpango naye
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,893
  Trophy Points: 280
  jua kabsa ndoa yako inanyemelewa na shetani wa ugomvi mkimbie haraka kwa kuvaa sura ya kazi usijiekee kitanzi shingoni.
   
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Acha kujifanya Dr. Love wa uhusiano wao, manake umeshamcomvise wewe ni PERFECT sasa ndo anautaka mzigo mzima mzima
   
 20. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ushauri mzuri, nimeupenda.
   
Loading...