Tabia za mwanamke huyu zinaniweka mtegoni

ongea na mkeo mwambie aache kujisifia kwa huyo bi dada kuwa ana mume mzuri(ambaye ni wewe). Kati ya udhaifu na tabia mbaya waliyonayo wanawake ni majivuno. Ninakueleza hivi kwa kuwa nina uhakika mkeo lazima atakua anakupamba wewe mbele ya huyo bi dada kuwa hata kitandani u machachari.
we jamaa una akili sana umechunguliaaa ukagundua tatizo ushamaliza mke amejiaciha kwa raffikie sasa rafiki ataka pindua gari.safi sana
 
Nadhani na weye pia yamekufaa na unasubiri akushike mkono akwambie gusa Kama baridi au moto, sababu ww ni rijali na mbinu zake ushazijua nini kinakufanya ujisogeze au uonyeshe ukaribu na yy?
 
Utakuwa mpumbavu kama utaangushwa na mtego unaouona. Zingatia mawazo yaliyotolewa, yenye mwelekeo wa kuilinda afya yako na mustakabali mzima wa familia.
 
jua kabsa ndoa yako inanyemelewa na shetani wa ugomvi mkimbie haraka kwa kuvaa sura ya kazi usijiekee kitanzi shingoni.

Unaonaje dada yangu mdogo wako ndiyo ningekuwa nimedondokewa na zari kama hili............Achilia mbali mambo mengine lol!!
 
Punguza mazoea naye na ikiwezekana mweleze mkeo na jamaa wa huyo mwanamke.
 
Kuna mtu kaiba ID?

Mambo mengine huwaga ni marahisi lakini watu tu ndiyo huyafanya yawe ama yaonekane kama vile ni magumu.

Kwenye hilo unalolizungumzia hakuna quandary hata kidogo.

Naweza kusema ni wewe mwenyewe ndiyo unayeendekeza yote hayo.

Huna msimamo madhubuti wala thabiti.

Ungekuwa nao ungekuwa ushamueleza kwa namna moja ama nyingine kutofurahishwa kwako na mwenendo wake.

Hakuna hata haja ya kumwambia jamaa yake. Mwambie tu yeye mwenyewe na usimpe mwanya wa kufanya ujinga wake.
 
Wewe umeona mbali. kuna watu wakishindwa kurekebisha kwao wanakimbilia kuharibu kwa wenzao.

Huyo anataka kumkomoa mke wa jamaa ili wawe sawa. hakuna kuchekana

ongea na mkeo mwambie aache kujisifia kwa huyo bi dada kuwa ana mume mzuri(ambaye ni wewe). Kati ya udhaifu na tabia mbaya waliyonayo wanawake ni majivuno. Ninakueleza hivi kwa kuwa nina uhakika mkeo lazima atakua anakupamba wewe mbele ya huyo bi dada kuwa hata kitandani u machachari.
 
Mambo mengine huwaga ni marahisi lakini watu tu ndiyo huyafanya yawe ama yaonekane kama vile ni magumu.

Kwenye hilo unalolizungumzia hakuna quandary hata kidogo.

Naweza kusema ni wewe mwenyewe ndiyo unayeendekeza yote hayo.

Huna msimamo madhubuti wala thabiti.

Ungekuwa nao ungekuwa ushamueleza kwa namna moja ama nyingine kutofurahishwa kwako na mwenendo wake.

Hakuna hata haja ya kumwambia jamaa yake. Mwambie tu yeye mwenyewe na usimpe mwanya wa kufanya ujinga wake.

Ni kweli NN, na katika maelezo yote ya huyu bwana hakuna hata sehemu moja ambayo amesema kwamba ameshakemea hyo tabia au kumpa onyo hyo shemeji yake na ndio maana anazidi kumfanyia vituko. Kinachofuata ni huyu mwanamke kumtega na kumzushia jambo jamaa kama vile ametaka kumbaka au anamtongoza.Be man enough and shout.
 
hivi unajua kwanini wachungaji na mapadre ni target pendwa sana ya wanawake walio na matatizo kwenye ndoa/mahusiano yao?
HUWA WANAAMINI KUWA WAKO PERFECT SANA KAMA WANAYOHUBIRI!
huyo dada umempa uhakika sana kuwa wewe ni mr RIGHT!so amechoka kufantasyze ameamua kuja mzima mzima!MUEPUKE KAMA UKOMA
1.ndoa yako ipo hatarini
2.urafki wako na jamaa upo hatarini
3.afya yako ipoa hatarini
4.heshima yako ipo hatarini pia!
la kufanya ni kumface yeye mwenyewe na kumwambia ukimaanisha kuwa hilo analolitaka halipo/halitakuwepo/halijawahi uwepo \
nahisi unahofia kuuumiza uhusiano wao kuliko ndoa yako,hivi inakuwaje unamuonea huruma ambae hajali maslahi yako na ndoa yako?
kwanza unalowaza kuwa watakorofishana na huyo jamaa yako wala halipo,wataachana kama ulivyo utaratibu wa jamaa yako kuweka ndani na kuacha!wala hautakuwa mzigo wako!
 
Back
Top Bottom