ndukulusudicho
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 502
- 777
Davis Mosha
Davis Mosha
Itakua kalitoa Vietnam mkuu [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mengi huwa yana rangi ya blue,hili umelitoa wapi?
Aisee..., hili dude umelitoa wapi mwenzetu! tena bado jipyaa hili!
Davis Mosha shughuli zake hasa ni nini? Nmemsikia mara kadhaa hapa TanzaniaDavis Mosha
Aisee..., hili dude umelitoa wapi mwenzetu! tena bado jipyaa hili!
Ni hatari, yaani nikilipata hilo.., nanyanyasa hadi matrafiki, wakisimamisha sisimamiAnaesukuma hiki chuma ni dogo mmoja hivi hata 30 yrs hajafika! Hii cha mtoto kuna Ford Raptor F150 pia mpya (2014 version) ni shida!!!
Hii mashine ikiwashwa utafurahi, ingawa inakera sana. Ukiisimamisha na Hilux au Land Cruiser, difference ya ukubwa ni sawa na canter against Scania R420
Ndio tunazoziwezea kwa spearparts na mafundi wake wapo, mengine yakilogo lazma ufate mafundi magharibi,,, Kuna jamaa mbeya alikuwaga na GMC alikonda nayo,,Wabongo katika swala la mandinga tupo ndani ya box la toyota tu.
Sasa spea za Toyota ndio zipo kwa wingi na bei rahisi, tufanyaje?Yani Bongo Gari ni Toyota tu !?! ...
Kweli hii ni nchi masikini
Rav4 tabia zao ziko waziSie wa Premio, Rav4, Ractis, na Rush je?
Hyundai Motor India Ltd is a wholly owned subsidiary of the Hyundai Motor Company in India. It is the second largest automobile manufacturer in India.Hapo kwny Hyundai umechanganya madesa, Hyundai zinatengenezwa Korea Kusini na sio India,
Unless km ulimaanisha Tata na Mahindra hizo ndizo 100% zinaendeshwa na wahindi, ukimuona mweusi ujue ni dereva tu ametumwa mahali!