Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,200
Gari za kisasa ni zipi kwa uchumi wetu!?..gari za zamani hizo.very outdated
Gari za kisasa ni zipi kwa uchumi wetu!?..gari za zamani hizo.very outdated
gari za kisasa kwa uchumi wa mtanzania endesha passo vits carina ti ist n.kGari za kisasa ni zipi kwa uchumi wetu!?..
Yani umenikatalia presidential cars nikajua una mbadala mzuri, kumbe unaviona hivyo vi baby walker ndio vya kisasa!!.. Anyway hebu jipinde pata Fuga au Crown halafu rudi leta mrejesho!.gari za kisasa kwa uchumi wa mtanzania endesha passo vits carina ti ist n.k
Hahaha..., hapo nimemaanisha gari zote za caliber hiyo (V8) hasa za dieselHivi land cruiser v8 unapigaje nyoka kwa mfano, naomba nieleweshe hapo vinginevyo utakuwa umedharirisha taaluma zetu.
umezungumzia kwa uchumi wa mtanzania bwanamdogo.ndio maana unao vibaby walker vimejaa mjini.hayo unayoyataja japo ni outdated lakini wengi wetu hatuwezi kuya run kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha mafuta na maintananceYani umenikatalia presidential cars nikajua una mbadala mzuri, kumbe unaviona hivyo vi baby walker ndio vya kisasa!!.. Anyway hebu jipinde pata Fuga au Crown halafu rudi leta mrejesho!.
halafu hebu jaribu kuheshimu taasisi ya urais.hizo takataka haziwezi kuwa presidential motorcadeYani umenikatalia presidential cars nikajua una mbadala mzuri, kumbe unaviona hivyo vi baby walker ndio vya kisasa!!.. Anyway hebu jipinde pata Fuga au Crown halafu rudi leta mrejesho!.
Dah! we jamaa umenikuna kutia hilo neno Amarok, aisee hiii ni mashine nyengine.VolksWagen Amarok
aisee hapo lazima nigeuke nistaajabu uumbaji wa mzungu.
Wanaoendesha rav 4 wengi huwa wana maisha ya kati hasa pale wanapokosa kuwa na pesa ya kununua offroad vehicle kama LC na mara nyingi sana hununua hizi gari mkononi.Rav 4 je
Tuache jamaa..Rav4 ni mashine moja matata sana,toka babu mpaka mjukuuWanaoendesha rav 4 wengi huwa wana maisha ya kati hasa pale wanapokosa kuwa na pesa ya kununua offroad vehicle kama LC na mara nyingi sana hununua hizi gari mkononi.
Hasa hizi za kisasa, taa zake za mbele ukija ovyo ovyo utadhani Land cruiser v8Tuache jamaa..Rav4 ni mashine moja matata sana,toka babu mpaka mjukuu
Nayapenda haya magari siku moja nitalimiki
Mkuu umenenaMimi buti za delta tu ziwe brown ya US Army, Timberland haiingi ndani kwa uyo mnyama,
nyie bakini na magari yenu tu! ila mnyama akiwa mguuni huyo najihisi nipo peponi natembelea red capet tu!![]()
Burgati ndio nini mkuu?Audi, BMW, Benz, Burgati, Ford,Cayenne, RR nk si madereva hao?
InshaAllah!Nayapenda haya magari siku moja nitalimiki