Tabia za madereva wa aina mbali mbali za magari

Hao mara nyingi utakuta na madereva wa TTCL na Tanesco....; hahahaha...
Hapana, Hilux ni gari isiyochuja, ni gari ya kazi, ni multipurpose. Wanaondesha hayo magari mara nyingi ni wahandisi kwa kuwa wanabebeba vitu vyao na wanakuwa na timu yao ya kazi. Ni gari ya kazi na mara nyingi inatumiwa na watu wa kazi. NIMEKUSAIDIA TU
 
Kwani wahandisi wa TTCL na Tanesco sio wahandisi, au kazi za Tanesco na TTCL sio kazi?
 
Hapana, Hilux ni gari isiyochuja, ni gari ya kazi, ni multipurpose. Wanaondesha hayo magari mara nyingi ni wahandisi kwa kuwa wanabebeba vitu vyao na wanakuwa na timu yao ya kazi. Ni gari ya kazi na mara nyingi inatumiwa na watu wa kazi. NIMEKUSAIDIA TU
for sure mkuu
 
Ngoja niingie mjini sasa hivi

images.jpeg
 
Back
Top Bottom