Tabia za mabinti/wanawake wa Kisukuma

Tabia za mabinti/wanawake wa Kisukuma

1781953912356.png
 
Ukija ugenin usukuman hawakuulzi kama umekula. Wataanza hekaheka za kupika.

Utashangaa tu unakaribshwa chakula tiari.

Kama ni mchana utatengewa viaz ukute unasafisha koo.
Na baadae unaletwa ugari sasa ule ushibe.

Ukimalza kula unaletewa wali kuku ushushie.
 
Uko sahihi kaka one!
 
Ni raha sana! Kwakweli kuwa msukuma kuna raha yake! Watatutoa mno kasoro ila tumejaliwa upendo!
sana na huwa napenda pale msukuma anapo mpokea mgeni kwake asiye na makaz na kuishi nae kama ndugu yake miaka nenda rudi mpaka atapewa na mashamba ya kulima apate mtaji.

Ni upendo wa kweli
 
Yani ni kawaida kabisa na hatunaga uoafi na mashamba kabisa! Ukija unapewa kipande!
 
Back
Top Bottom