Verified users mna Mambo sanaSIFA YA MABINTI WA JF YETU
1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K
2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?»
3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype..
HUMU wamo au???✍️✍️✍️✍️
Asante kwa kunidokeza ngoja tufanye hivyoSHIDAAA YOOOOTEEEE NI PESA......tafuta pesa upunguze kujieleza..wenzako tangu tuigundue simple principle ya kuwadaka hawa viumbe huwaga hatuangaik na maswal yakijinga et wapii hiyoo??, mara nitumie sjui nmba tuchat wasap/ huu upuuz haupo,ukiwa na hela mueleze tu bei gan kama unamtaka, kama unataka urafiki napo eleza location kali ya kumtoa out mtoto mzur, achana na maneno ya wahenga,kizaz hik hakina uruma, ukishindwa kumuhudumia huyo akina sie tupo tutamtoa out, tutampa izo bukuteni zakutosh mpka awe anatutfta yeye mwenyew na urafiki utadumu mpka ndoa....hahaha tafta pesa acha ngonjera wew, mwanaume anapendwa na mama mzaz tuu...
Sawa ngoja mimi niwe storyteller kwao niwafrahishe.Mkuu tafuta fuba,pesa,chapaa kama mdau hapo juu alivoshauri.
Kama hilo haliwezekani basi jitahidi kua mvumilivu na maneno matam matam na vijistory vya hapa na pale vya kufurahisha, mind you wenye pesa hawana story nying so madem zao wanakua bored. Sasa hiyo ndo nafasi yako kujimwaya mwaya, la sivyo huwezi pata attention yao.